Upendo FM Radio is a Christian, Gospel and Evangelical Radio operated by the Eastern and Coastal Diocese of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania. To lovingly preach the Holy Gospel of Jesus Christ to all and to teach His word to all people.
Shalom Mungu awabariki kwa utumishi wenu kwenye kongamano la MAOMBI Dodoma
1
Ulrick Tumaini09.07.2019
Tutengeneezeni app ya radio na TV ili tuwapate vizuri
5
Yona Uriyo22.06.2019
Shalom,nawapata vizuri TWEN'ZETU KWA YESU
4
Nathan Thadeo19.06.2019
Nawapata sana Upendo fm moja kwa moja nikiwa Taiwan Asia
2
Deo Burgner03.06.2019
Mko vizuri sana!!!
5
Jonathan Marco13.04.2019
Jina la Bwana lihimidiwe Milele, nabarikiwa na neno la Mungu na Mwl Mwakasege tokea Dodoma. Mbarikiwe sana na utukufu wa Mungu uwe juu ya kazi njema ya kulitangaza neno la Mungu kwa njia ya Radio
5
Bridget Gabriel15.03.2019
Mungu aibariki na kuidumisha huduma hii.
5
Ibrahim Sadick11.03.2019
Mnanibariki sana Mungu awatie nguvu
5
Rehema Twalib08.03.2019
Mnanibariki sana. Mungu azudi kuwapa nguvu ya kutangaza INJILI
4
joseph kalalu02.03.2019
Nawapata vyema moja kwa moja kutoka Mbeya. Mungu wa Mbinguni awabariki.
4
Wéapon Mwajombe18.01.2019
Umebarikiwa Sana Mwl Dickson, Morogoro Tunakufuatilia
4
Apostle Astton04.01.2019
Ninajifunza Sana! Mwalimu Dickson Kabigumila Uko Vizuri Mno!Napata Maarifa Kuhusu MAHUSIANO!
1
Trizer Peter04.01.2019
I real Enjoy the Music
3
Brown D-DAY03.12.2018
Wengi wamepotea katika maneno ya Mungu.7:22 Baba Kutakuwa ...... wa Mungu; katika mahubiri yetu kwa-ke, sisi ni yeye katika dunia hii.
5
God's Child06.09.2018
keep it up...Mungu awatunze
5
heavenlight mushi19.08.2018
Amen na barikiwa na huduma ya radio yetu kwa huduma ya kumwinua YESU,,,
5
Happiness george William21.07.2018
Amen napokea
5
anita kisabo05.10.2017
Mungu awabariki sana ,kwa kazi yenu iliyo njema ya kulitangaza neno la Kristo.Mungu azidi kuwainua kwa viwango vingine.
4
Aggrey Urio03.09.2017
Nashukuru Napata Neno La Mungu Nikiwa Nje Ya Tanzania Kwa Lugha Yangu Ya Kiswahili. Najisikia Kuwa Karibu Na Nyumbani. Nimewapa Nyota Nne Kwa Sababu Kuna Wakati Mnakosekana Hewani Na Huduma Kwa Wateja Hawaelezi Ni Sababu Gani Kumekuwa Na Kasoro Hizo. Mungu Awape Karama Ya Kuendeleza Kutoa Huduma Ya Kiroho Kwa Kutumia Teknolojia Ili Kuwakifikia Waumini Popote Walipo Duniani.