Підтримуйте Україну. Збережіть мир у світі!
Upendo FM
Дар-ес-Салам, 107.7 MHz FM
Upendo FM Radio is a Christian, Gospel and Evangelical Radio operated by the Eastern and Coastal Diocese of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania. To lovingly preach the Holy Gospel of Jesus Christ to all and to teach His word to all people.
Відгуки про Upendo FM
Robert Kibwengo
03.08.2024
HAKIKA REDIO HII INANIBARIKI SANA
emmanuel ndaga
20.05.2024
shalom
To JESUS CHRIST shall be the glory.
KWA KWELI REDIO HII YA UPENDO FM IMEKUWA BARAKA KUBWA MNOOO MNOOOO KWA WATU WOTE WANAOPATA KIBALI CHA KUISIKILIZA REDIO HII, MIMI NIKIWA NI MMOJAWAPO.
Shalom
julianna Coaster
16.08.2022
Mungu awabariki upendo fm
heradiuss dereck
15.08.2022
Mungu awatunze na aendelee kuwapa hekima ya kumtumikia wakati wote sawasawa na kusudi lake.Amen
Zuytbel Mahenge
11.07.2022
Bwana Yesu asifiwe na barikiwa sana na huduma yenu
adrian nekemia
16.06.2022
Adrian Mugisha, Mungu awabariki sana. Nawapata Tokea Hapa Chimwaga Dodoma. Barikiwa sana
Shalom Frans Nongolo na Rose Palangyo!