-
ULRICK TUMAINI
12.03.2020
Upendo Tuwekeeni Online TV kwa sisi tusikuwa na vingamuzi
-
4
-
Aloyce Thomson
18.02.2020
how come mnakatisha live ya mwakasege tena yupo kati kati ya maombi mbona siwaelewi upendo
-
Martha Richard
09.02.2020
Bwana Yesu asifiwe. Nabarikiwa sanaa
-
Lugano Mwankyoko
26.01.2020
Bwana Yesu asifiwe wapendwa, huo wimbo wa acha nikuabudu ameimba nani?
-
Bless the name of the Lord. Mbarikiwe sana team nzima ya upendo FM,Mungu mwaminifu akafungue baraka kwenu 2020 iwe ya baraka kwenu katika kila jambo,mkaongezeke na kustawishwa katika kazi na maisha yenu. Mwendelee kufanyika baraka kwa waskilizaji na kwa huduma hii Mungu akawatumie kugusa maisha ya watu lakini zaidi akakutane na nyinyi pia. Bwana awatunze mno mno
-
Emmanuel Mushi
10.01.2020
Naona ingekua jambo la baraka sana mgekua mnaweka ratiba ya vipindi kwa siku ili tuwe tunajua ni muda gani kuna kipindi gani
-
Shalom tunaomba semina za Mwl mwakasege ziwe zinafika mwisho hasa kipindi cha maombi ya pamoja...
-
Kelvin Justinian
05.01.2020
❤️🔥
-
alonga kasumani
19.12.2019
Thank you Upendo Radio. God Bless you!
-
beatrice audifasi
07.12.2019
Thanks you Upendo Radio. Am getting you clear and loud from China +86.
-
Nawapata kutoka Ulanga-Morogoro
-
Loveness Meela
14.11.2019
From +254 I am getting you loud and clear. Thank you for keeping me closer to the Almighty God. Listening to your channel I learn a lot through your topics and spiritual nourishment through gospel songs. Be blessed all.
-
Wingrace Gerald Ngowi
13.11.2019
Nawapata kutoka South Africa, Mungu awabariki mno kwa haya mafundisho.
-
gasimike myalla
02.11.2019
Mungu awabariki sana
-
Goodlucky Galbon
01.11.2019
Bwana Yesu apewe sifa, nilikuw nawafatilia sana radio hii nikiw dare es salaam na nimevutiwa sana san na huduma zenu sema kwa bahat mbaya nimekuja india nimeshindwa kuwapata na nimemiss huduma zenu kwa mtumishi yeyote anayejua anijulishe ili na mimi nisipitwe na hudum zenu ,asante
-
joshua ezekiel
21.10.2019
Shalom Shalom nawapata vizuri sana kutoka India
-
Samwel Jubilate Mushi
24.09.2019
Haleluya!, nawapata vizuri kutoka hapo viwanja vya kawe kwenye semina ya neno la MUNGU...
-
Kelvin Mchau Jr.
24.09.2019
Nawapata live kutoka changchun jilin china.
-
Josephat Revocatus
03.09.2019
Nawapata vizuri kutoka Njombe
-
Shalom Mungu awabariki kwa utumishi wenu kwenye kongamano la MAOMBI Dodoma
-
Ulrick Tumaini
09.07.2019
Tutengeneezeni app ya radio na TV ili tuwapate vizuri
-
Shalom,nawapata vizuri TWEN'ZETU KWA YESU
-
Nawapata sana Upendo fm moja kwa moja nikiwa Taiwan Asia
-
Mko vizuri sana!!!
-
Jonathan Marco
13.04.2019
Jina la Bwana lihimidiwe Milele, nabarikiwa na neno la Mungu na Mwl Mwakasege tokea Dodoma. Mbarikiwe sana na utukufu wa Mungu uwe juu ya kazi njema ya kulitangaza neno la Mungu kwa njia ya Radio
-
Bridget Gabriel
15.03.2019
Mungu aibariki na kuidumisha huduma hii.
-
Ibrahim Sadick
11.03.2019
Mnanibariki sana Mungu awatie nguvu
-
Mnanibariki sana. Mungu azudi kuwapa nguvu ya kutangaza INJILI
-
Nawapata vyema moja kwa moja kutoka Mbeya. Mungu wa Mbinguni awabariki.