This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to our policies regarding the use of cookies.

Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×
Stand with Ukraine. Save peace in the world!

Tzgospel Radio

Rating: 4.7 Reviews: 40
Dhamira yetu ya msingi inabaki kutangaza kwa ulimwengu Injili ya Bwana Yesu Kristo na kuleta faraja na kutia moyo,kutangaza huduma za kikristo na kuinua muziki wa injili.Usikose kusikiliza idhaa BBC,DW SWAHILI na taarifa ya habari kutoka TBC TAIFA na KBC TAIFA. CHANNEL NO.500 MILAN CABLE{ARUSHA} wasiliana nasi +255757560345whatsapp unatusikiliza ukiwa wapi ?
291 0

Tzgospel Radio reviews

  • 5
    15.05.2025
    NAWAPATA FRESH SANA KUTOKA KINYEREZ DSM
  • 5
    30.12.2024
    Naitwa Neema Enock nawasikiliza nikiwa dar es salaam nawapata vizuri hapa sinza mbarikuwe
  • 5
    27.09.2023
    Nikiwa pande za Dar Es Salaam nawapata vizuri kabisa. namtukuza Mungu kupitia TZGOSPEL ONLINE RADIO
  • 4
    20.09.2023
    Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
  • 5
    29.10.2022
    Bwana yesu asifiwe watumishi mbona atusikii semina ya mwakasege ?
  • 5
    29.10.2022
    Wonderful worship. I'm actually blessed
  • 4
    07.10.2022
    🎵🎵🎵
  • 5
    04.10.2022
    Tuned from Gaborone, Botswana.
  • 4
    18.09.2022
    receiving you loud and clear in NewZealand. God Bless
  • 4
    24.07.2022
    niko moshi nasikiliza sebene hapa hatariiii radio makini

Radio contacts

Phone: +255757560345
Site:
Email: [email protected]
WhatsApp: +255757560345
Facebook: @tzgospel
Twitter: @tzgospel
Instagram: @tzgospel
Tiktok: @tzgospel

Time in Dar es Salaam: 04:17, 07.18.2025

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

Program

17:00 Usiku wa maombi
Usikose usiku wa maombi ambapo utasikiliza tenzi za rohoni nyimbo za kuabudu maombi usiku
09:00 AFRO GOSPEL
Naam! Hapa utasikiliza list ya nyimbo zote kali za africa utasikia sebene rhumba hadi kwaito
12:00 Gospel fresh
Basi hapa nyimbo zote mpya zitasikika hapa
Entire program