Deze website gebruikt cookies. Bij het verder gebruiken van deze website, ga je akkoord met onze voorwaarden betreffende cookies.

Installeer de gratis Online Radio Box mobiele applicatie op je smartphone en luister online naar je favoriete radiozenders – waar je ook bent!

×
Leuk ? Sla het op in je favorieten
×
Leuk ? Laat je recensie achter!
×
×
Sta achter Oekraïne. Red de vrede in de wereld!

Tzgospel Radio

Rating: 4.7 Beoordelingen: 39
Dhamira yetu ya msingi inabaki kutangaza kwa ulimwengu Injili ya Bwana Yesu Kristo na kuleta faraja na kutia moyo,kutangaza huduma za kikristo na kuinua muziki wa injili.Usikose kusikiliza idhaa BBC,DW SWAHILI na taarifa ya habari kutoka TBC TAIFA na KBC TAIFA. CHANNEL NO.500 MILAN CABLE{ARUSHA} wasiliana nasi +255757560345whatsapp unatusikiliza ukiwa wapi ?
289 1

Nu live Tzgospel Radio

Live Praise Praise
22:48 nashukuru by paul seleli ft therapy group(128k)
22:38 Enoch Mwenyi Hekaluni (feat. Damaris)
Tzgospel Radio playlist

TOP liedjes op Tzgospel Radio

Praise Praise - Via DolorosaPraise — Praise
George William - Madhabahu Ya Sifa ( 128kbps )George William — Madhabahu Ya Sifa
neema gospel choir - permanent live (48k)Neema Gospel Choir — Permanent
Joel Lwaga - MwanaJOEL LWAGA — Mwana
Asagwile Ft Walter Chilambo - BabaWalter Chilambo — Busara
Joyous Celebration - Useyabuya Baba Live At The Durban ICC - 2024Joyous Celebration — Useyabuya (Live at the Durban Icc)
PAUL CLEMENT - SHUKRANI (OFFICIAL LIVE RECORDING VIDEO) SKIZA - 9860830PAUL CLEMENT — Shukrani
elie bahati - siryo herezo live in kigali (128k)Elie Bahati — Siryo Herezo
mahali hapa - chorale nouvelle semence(128k)Chorale Nouvelle semence — Mahali Hapa
hymnos - moyo wangu feat. dedo dieumerci, naomi mugiraneza dr ipyana (128k)hymnos — Moyo Wangu (feat. Dedo Dieumerci, Naomi Mugiraneza & Dr Ipyana)

Tzgospel Radio beoordelingen

  • 5
    30.12.2024
    Naitwa Neema Enock nawasikiliza nikiwa dar es salaam nawapata vizuri hapa sinza mbarikuwe
  • 5
    27.09.2023
    Nikiwa pande za Dar Es Salaam nawapata vizuri kabisa. namtukuza Mungu kupitia TZGOSPEL ONLINE RADIO
  • 4
    20.09.2023
    Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
  • 5
    29.10.2022
    Bwana yesu asifiwe watumishi mbona atusikii semina ya mwakasege ?
  • 5
    29.10.2022
    Wonderful worship. I'm actually blessed
  • 4
    07.10.2022
    🎵🎵🎵
  • 5
    04.10.2022
    Tuned from Gaborone, Botswana.
  • 4
    18.09.2022
    receiving you loud and clear in NewZealand. God Bless
  • 4
    24.07.2022
    niko moshi nasikiliza sebene hapa hatariiii radio makini
  • 5
    02.07.2022
    bwana yesu asifiwe nilikua naomba kupata baadhi ya nyimbo nimezipenda

Contacten

Telefoon: +255757560345
Site:
Email: [email protected]
WhatsApp: +255757560345
Facebook: @tzgospel
Twitter: @tzgospel
Instagram: @tzgospel
Tiktok: @tzgospel

Tijd in Dar es Salaam: 06:12, 05.03.2025

Installeer de gratis Online Radio Box applicatie op je smartphone en luister online naar je favoriete radiozenders – waar je ook bent!

Programma

12:00 Gospel fresh
Basi hapa nyimbo zote mpya zitasikika hapa
Hele programma