Il sito web utilizza cookies. Se continui ad utilizzare questo sito web, significa che sei d’accordo con la nostra politica riguardo l’uso di questi cookie.
Installa l'applicazione mobile gratuita Online Radio Box per il tuo smartphone e ascolta le tue stazioni radio online preferite – ovunque ti trovi!
Dhamira yetu ya msingi inabaki kutangaza kwa ulimwengu Injili ya Bwana Yesu Kristo na kuleta faraja na kutia moyo,kutangaza huduma za kikristo na kuinua muziki wa injili.Usikose kusikiliza idhaa BBC,DW SWAHILI na taarifa ya habari kutoka TBC TAIFA na KBC TAIFA. CHANNEL NO.500 MILAN CABLE{ARUSHA}
wasiliana nasi +255757560345whatsapp unatusikiliza ukiwa wapi ?
Naitwa Neema Enock nawasikiliza nikiwa dar es salaam nawapata vizuri hapa sinza mbarikuwe
5
Halima Almasi27.09.2023
Nikiwa pande za Dar Es Salaam nawapata vizuri kabisa. namtukuza Mungu kupitia TZGOSPEL ONLINE RADIO
4
sebule maharifa20.09.2023
Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
5
Prospar Tiophil29.10.2022
Bwana yesu asifiwe watumishi mbona atusikii semina ya mwakasege ?
5
Robert Mwampamba29.10.2022
Wonderful worship. I'm actually blessed
4
Celvin Beda07.10.2022
🎵🎵🎵
5
nicholaus alfred04.10.2022
Tuned from Gaborone, Botswana.
4
richard mabala18.09.2022
receiving you loud and clear in NewZealand. God Bless
4
erick mboya24.07.2022
niko moshi nasikiliza sebene hapa hatariiii radio makini
5
vicent alfa02.07.2022
bwana yesu asifiwe nilikua naomba kupata baadhi ya nyimbo nimezipenda