I missed this frequency 90.1 VOSFM. Niko mbali na nyumbani ila nashukuru sasa naweza kupata Ladha ya Nyumbani, naskiliza @vosfm popote kupitia hapa. Hii ni radio yetu
4
Director Peter11.08.2025
Nawapata Vyema sana kwa hewa
4
PATRICK MANUMA09.05.2025
Nawapata vizuri kupitia online box, VOS FM nikiwa popote, au kupitia radio nikiwa nyumbani.
4
Swata Swata23.12.2024
matangazo yenu yote mbona yana mwangwi
5
Patrick Wankali17.05.2024
Wankali the golden boy..... Show Ipo hot ... Interview zote zpo impressive.