This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to our policies regarding the use of cookies.

Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×
Stand with Ukraine. Save peace in the world!

TBC Taifa

Dar es Salaam, 94.6 MHz FM
Rating: 4.2 Reviews: 20
Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa is a broadcast radio station from Dar es Salaam, Tanzania providing African music and news.
74 0

Related radio stations

TBC Taifa reviews

 • 4
  30.10.2020
  Saf kbs Nawapata vizr xana
 • 5
  04.09.2020
  Kusema kweli mnasikika kwa uzuri sana kwenye mtandao kuliko hizi sehemu zingine za Kmh hususa ni huku nilipo Chimala Mbarali Mbeya niiitwavyo mimi Moses Ndeni
 • 5
  27.04.2020
  wasafi
 • 4
  18.02.2020
  Ukweli usiofichika ni kuwa Yanga haiwezi kupigania tena ubingwa kwa sababu mpaka sasa timu haina mwelekeo wowote wa ubingwa na hata mpira unaochezwa na timu hii hauna mvuto wowote kwa mashabiki wake.
 • 5
  13.02.2020
  Nimensikiliza sna babu(baba wa taifa katika hii nukuu yake)tumtete zito kabwe anawazuiya wanyonyaji tuweni wazalendo
 • 1
  04.01.2020
  Mariamu na tipha WA mipango ushindi yanga ni lazma.. JACKLINE kutoka dodoma
 • 1
  31.12.2019
  Naitwa Gwijo was kasulu naitakia simba ushindi wa goli 4 kwa 0
 • 5
  27.10.2019
  Hapo sawa tbc Tanzania Naitwa Alex masanja nikiwa cape town south Africa Naitakia yanga goli 2 tu
 • 5
  26.09.2019
  Mimi ni salim kivugo kutoka Mohak Gas shop naitakia simba sc ushindi wa goli 3:
 • 3
  23.09.2019
  Hapa ndo kwangu nime Fika nyumbani haswaa hizi nyimbo za siku hizi sizipendi mimi mapenzi wa nyimbo za zamani. Zilipendwa. Naskiliza nikiwa London UK

Radio contacts

Phone: +0754294116
Site:
Email: info@tbc.go.tz
Facebook: @tbctaifatz
Twitter: @TBCtaifa
Instagram: @tbc_online
Youtube: @UCEz71zXmApKBYiH1fReemeA

Time in Dar es Salaam: 11:05, 09.25.2022

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!