-
beatrice audifasi
07.12.2019
Thanks you Upendo Radio. Am getting you clear and loud from China +86.
-
Nawapata kutoka Ulanga-Morogoro
-
Loveness Meela
14.11.2019
From +254 I am getting you loud and clear. Thank you for keeping me closer to the Almighty God. Listening to your channel I learn a lot through your topics and spiritual nourishment through gospel songs. Be blessed all.
-
Wingrace Gerald Ngowi
13.11.2019
Nawapata kutoka South Africa, Mungu awabariki mno kwa haya mafundisho.
-
gasimike myalla
02.11.2019
Mungu awabariki sana
-
Goodlucky Galbon
01.11.2019
Bwana Yesu apewe sifa, nilikuw nawafatilia sana radio hii nikiw dare es salaam na nimevutiwa sana san na huduma zenu sema kwa bahat mbaya nimekuja india nimeshindwa kuwapata na nimemiss huduma zenu kwa mtumishi yeyote anayejua anijulishe ili na mimi nisipitwe na hudum zenu ,asante
-
joshua ezekiel
21.10.2019
Shalom Shalom nawapata vizuri sana kutoka India
-
Samwel Jubilate Mushi
24.09.2019
Haleluya!, nawapata vizuri kutoka hapo viwanja vya kawe kwenye semina ya neno la MUNGU...
-
Kelvin Mchau Jr.
24.09.2019
Nawapata live kutoka changchun jilin china.
-
Josephat Revocatus
03.09.2019
Nawapata vizuri kutoka Njombe
-
Shalom Mungu awabariki kwa utumishi wenu kwenye kongamano la MAOMBI Dodoma
-
Ulrick Tumaini
09.07.2019
Tutengeneezeni app ya radio na TV ili tuwapate vizuri
-
Shalom,nawapata vizuri TWEN'ZETU KWA YESU
-
Nawapata sana Upendo fm moja kwa moja nikiwa Taiwan Asia
-
Mko vizuri sana!!!
-
Jonathan Marco
13.04.2019
Jina la Bwana lihimidiwe Milele, nabarikiwa na neno la Mungu na Mwl Mwakasege tokea Dodoma. Mbarikiwe sana na utukufu wa Mungu uwe juu ya kazi njema ya kulitangaza neno la Mungu kwa njia ya Radio
-
Bridget Gabriel
15.03.2019
Mungu aibariki na kuidumisha huduma hii.
-
Ibrahim Sadick
11.03.2019
Mnanibariki sana Mungu awatie nguvu
-
Mnanibariki sana. Mungu azudi kuwapa nguvu ya kutangaza INJILI
-
Nawapata vyema moja kwa moja kutoka Mbeya. Mungu wa Mbinguni awabariki.
-
Wéapon Mwajombe
18.01.2019
Umebarikiwa Sana Mwl Dickson, Morogoro Tunakufuatilia
-
Apostle Astton
04.01.2019
Ninajifunza Sana! Mwalimu Dickson Kabigumila Uko Vizuri Mno!Napata Maarifa Kuhusu MAHUSIANO!
-
I real Enjoy the Music
-
Wengi wamepotea katika maneno ya Mungu.7:22 Baba Kutakuwa ...... wa Mungu; katika mahubiri yetu kwa-ke, sisi ni yeye katika dunia hii.
-
keep it up...Mungu awatunze
-
heavenlight mushi
19.08.2018
Amen na barikiwa na huduma ya radio yetu kwa huduma ya kumwinua YESU,,,
-
Happiness george William
21.07.2018
Amen napokea
-
Mungu awabariki sana ,kwa kazi yenu iliyo njema ya kulitangaza neno la Kristo.Mungu azidi kuwainua kwa viwango vingine.
-
Nashukuru Napata Neno La Mungu Nikiwa Nje Ya Tanzania Kwa Lugha Yangu Ya Kiswahili. Najisikia Kuwa Karibu Na Nyumbani. Nimewapa Nyota Nne Kwa Sababu Kuna Wakati Mnakosekana Hewani Na Huduma Kwa Wateja Hawaelezi Ni Sababu Gani Kumekuwa Na Kasoro Hizo. Mungu Awape Karama Ya Kuendeleza Kutoa Huduma Ya Kiroho Kwa Kutumia Teknolojia Ili Kuwakifikia Waumini Popote Walipo Duniani.