Ova veb-lokacija koristi cookies. Ako nastavite da koristite ovu veb lokaciju, pristajete na našu politiku korišćenja kolačića.

Instalirajte besplatnu mobilnu aplikaciju Online Radio Box na svom pametnom telefonu i slušajte svoje omiljene radio stanice preko interneta - gde god da ste!

×
Sviđa mi se ? Sačuvajte u svoje favorite
×
Sviđa mi se ? Ostavite svoju recenziju!
×
×
Stanimo uz Ukrajinu. Sačuvajmo mir u svetu!

Radio Safina

Аруша, 92.6 MHz FM
Ocena: 4.8 Komentara: 40
Radio Safina ni kituo cha Radio kilichoanzishwa kwa madhumuni ya kueneza neno la Mungu kwa njia ya Radio, kituo hiki kinapatikana Jijini Arusha na kinarusha matangazo yake ya kueneza neno la mungu kupitia masafa ya FM 92.60.
91 0

Radio Safina komentara

  • 4
    01.03.2022
    Haleluyahhh..Baba LOIS toka mbeya mjini,,, online nowdays hatuwapati.
  • 4
    06.08.2021
    Kutoka Dar, skuizi radio haipatikani online tatizo ni nini. Watumishi tuongeze nguvu ya maombi.
  • 5
    27.03.2021
    jamani nina miezi mitatu sasa sipati safina onlina
  • 5
    10.01.2021
    Napata shida kuipata, je Kuna tatizo au kuna njia nyingine ?
  • 5
    04.01.2021
    Jamani mbona napata shida kweny kusikiliza redio safina online
  • 5
    30.11.2020
    Nimeanza kusikiliza radio safina nikiwa Iringa mwaka 2017, baada ya hapo nikawa naisikiliza nikiwa chuo udom dodoma kwa njia ya online, hata sasa Mungu anazidi kuniinua.
  • 5
    12.10.2020
    Nawapata live online from Nairobi Kenya
  • 5
    04.09.2020
    Ameeen nabarikiwa tokea Chimala Mbarali Mbeya
  • 5
    03.09.2020
    Tumsifu Yesu Kristu, Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuelimisha watu kwa njia ya Radio. Mnafanya kazi nzuri na wengi wanapata faraja kupitia maudhui yenu ya kila siku.
  • 5
    03.08.2020
    Mbarikiwe mno Radio safina, Huduma yenu ni njema mno..Mungu wa mbinguni aikuze kimataifa...binafsi nmeinuliwa na nmebadilishwa kupitia radio safina ministry

Radio kontakti

Telefon: +0788335134
Lokacija:
Facebook: @RadioSafina

Vreme u gradu Аруша: 11:33, 05.04.2024

Instalirajte besplatnu Online Radio Box aplikacija aplikaciju na svom pametnom telefonu i slušajte svoje omiljene radio stanice preko interneta - gde god da ste!