Ce site Web utilise des cookies. En continuant à utiliser ce site, vous acceptez notre politique relative à l’utilisation des cookies.
Installez l'application mobile gratuite Online Radio Box pour votre téléphone intelligent et d'écouter vos stations de radio préférées en ligne où que vous soyez!
Radio Safina ni kituo cha Radio kilichoanzishwa kwa madhumuni ya kueneza neno la Mungu kwa njia ya Radio, kituo hiki kinapatikana Jijini Arusha na kinarusha matangazo yake ya kueneza neno la mungu kupitia masafa ya FM 92.60.
Nimeanza kusikiliza radio safina nikiwa Iringa mwaka 2017, baada ya hapo nikawa naisikiliza nikiwa chuo udom dodoma kwa njia ya online, hata sasa Mungu anazidi kuniinua.
5
Alex Imoli12.10.2020
Nawapata live online from Nairobi Kenya
5
Mosess Ndeni04.09.2020
Ameeen nabarikiwa tokea Chimala Mbarali Mbeya
5
Valeria Mrema03.09.2020
Tumsifu Yesu Kristu, Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuelimisha watu kwa njia ya Radio. Mnafanya kazi nzuri na wengi wanapata faraja kupitia maudhui yenu ya kila siku.
5
Joy Lucky03.08.2020
Mbarikiwe mno Radio safina, Huduma yenu ni njema mno..Mungu wa mbinguni aikuze kimataifa...binafsi nmeinuliwa na nmebadilishwa kupitia radio safina ministry
Installez l'application gratuite Online Radio Box pour votre téléphone intelligent et d'écouter vos stations de radio préférées en ligne où que vous soyez!
Peut-être est-ce un problème temporaire de station.
Vous pouvez laisser votre adresse e-mail et nous vous préviendrons lorsque la station diffusera de nouveau en ligne :
Ou écoutez les autres stations d’Tanzanie