Гэты сайт выкарыстоўвае cookies. Працягваючы працу з сайтам, вы згаджаецеся з нашай палітыкай выкарыстання cookies.

Усталюйце мабільнае прыкладанне Online Radio Box для вашага смартфона і слухайце любімыя радыёстанцыі онлайн, дзе б вы ні знаходзіліся!

×
Падабаецца ? Захавайце яе ў Выбраныя
×
Падабаецца ? Пакіньце свой водгук!
×
×

Праграма Ndingala Fm 93.3 Mhz

(Зараз у Sumbawanga 11:27)
02:00 04:00 Habari za michezo
Kupatia taarifa za michezo yote inayoendelea duniani kote. Wasikilizaji wote.
04:00 04:05 Habari kwa ufupi
kuhabarisha jamii
04:05 06:00 Safari mseto
Kujadili kero mbalimbali katika jamii na kuelimisha dhumuni ni Kuelimisha, kuonya na kuburudisha jamii.
06:00 06:30 Idhaa ya kiswahili ya Dw
Kuhabarisha jamii habari za duniani kote.
06:30 09:00 Muziki nyuzi 360
Kuburudisha jamii na Habari kwa Ufupi dhumuni Kuburudisha na kuelimisha kwa njia ya muziki.
09:00 09:30 Jicho la Muhariri
Kuhabarisha jamii
09:30 12:00 Barazani kwetu
Kuelimisha na kuhabarisha jamii dhumuni Jamii kujua matukio na kero mbalimbali Wasikilizaji wote.
12:00 13:00 Viwanjani leo
Kuburudisha habari za michezo Jamii kujua mechi zinazoendelea duniani kote Wasikilizaji wote.
13:00 15:00 Jarida la Habari
Kuhabarisha habari jamii.
15:00 17:00 Usiku wa huba
Kuelimisha jamii juu ya mahusiano ya kimapenzi dhumuni ni Jamii kuelimika juu maisha ya mahusiano ya kimapenzi na ndoa.
22:00 23:30 Amka na Ndingala
Salamu na Habari[ BBC, Magazeti],Habari kwa Ufupi dhumuni ni Kujuliana hali na kuhabarisha Walengwa Watu wote.
23:30 02:00 Dawati la Habari
Kuhabarisha,kuelimisha na kuonya na Habari kamili dhumuni ni Kuelimisha jamii na kujadili kero mbalimbali.

Усталюйце дадатак Online Radio Box для вашага смартфона і слухайце любімыя радыёстанцыі онлайн, дзе б вы ні знаходзіліся! Цяпер ваша любімае радыё ў вас у кішэні, дзякуючы нашаму зручнаму дадатку.