Tieto webové stránky používajú súbory cookies. Pokračovaním v používaní týchto webových stránok vyjadrujete súhlas s našimi pravidlami týkajúcimi sa používania súborov cookies.

Nainštalujte si bezplatnú mobilnú aplikáciu Online Radio Box do smartfónu a počúvajte svoje obľúbené rádiové stanice online kdekoľvek!

×
Páči sa mi ? Uložiť medzi obľúbené
×
Páči sa mi ? Zanechajte recenziu!
×
×

Program Ndingala Fm 93.3 Mhz

(teraz v Sumbawanga 19:59)
23:00 02:00 Pambazuko la Imani
kuelimisha na kuburudisha jamii dhumuni ni Kuelimisha jamii mafundisho ya dini.
02:00 04:00 Sauti ya Mwanamke
Kuelimisha jamii dhumuni ni Kutoa elimu kwa wanawake kuhusu maendeleo.
04:00 04:10 Habari kwa ufupi
Kuhabarisha jamii kwa watu wote.
04:10 05:00 Kilimo Chetu
Kutoa elimu kuhusu kilimo bora, uvuvi,na ufugaji
05:00 06:00 Kumi Bora
Kuburudisha jamii walengwa ni Watu wazima na Vijana
06:00 07:00 Matukio ya Wiki
Kuhabarisha jamii kuhusu matukio ya wiki nzima.
07:00 08:00 Mjadala
Kuelimisha jamii walengwa ni Watu wazima na vijana
08:00 08:15 Habari kamili
kuhabarisha jamii kwa habari mbali mbali.
08:15 09:00 Tafakari
kuelimisha na kuburudisha jamii Kuelimisha jamii mafundisho ya dini
09:00 10:00 Makabila
kuelimisha na Kuburudisha Jamii kujua historia, mila, desturi na lugha za makabila mbalimbali.
10:00 11:00 Muziki wa Zamani
Jamii kuburudika kupitia muziki wa zamani
11:00 12:00 Viwanjani leo
Kuburudisha habari za michezo Jamii kujua mechi zinazoendelea duniani kote Wasikilizaji wote.
12:00 14:00 Mdundo wa Injili
Kuelimisha jamii mafundisho ya dini walengwa ni Wasikilizaji wote (Vijana watu wazima wazee na watoto.
14:00 16:00 Usiku wa huba
Kuelimisha jamii juu ya mahusiano ya kimapenzi dhumuni ni Jamii kuelimika juu maisha ya mahusiano ya kimapenzi na ndoa.
21:00 22:30 Amka na Ndingala
Salamu na Habari[ BBC, Magazeti],Habari kwa Ufupi dhumuni ni Kujuliana hali na kuhabarisha Walengwa Watu wote.
22:30 01:00 Dawati la Habari
Kuhabarisha,kuelimisha na kuonya na Habari kamili dhumuni ni Kuelimisha jamii na kujadili kero mbalimbali.

Nainštalujte si aplikáciu Online Radio Box aplikáciu do smartfónu a počúvajte svoje obľúbené rádiové stanice online kdekoľvek!