This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to our policies regarding the use of cookies.

Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×
Stand with Ukraine. Save peace in the world!

Ndingala Fm 93.3 Mhz

Rating: 4.0 Reviews: 1
Ndingala fm 93.3 Mhz ni redio inayopatikana nchi ya Tanzania katika mkoa wa Rukwa wilaya ya Sumbawanga Mjini Pia tunapatikana MiKoa ifuatayo Tabora,Katavi,Songwe, Mbeya na Kigoma katika masafa ya 93.3 Mhz. " Sauti Yako, Sauti yetu"
5 0

Ndingala Fm 93.3 Mhz reviews

  • 4
    29.06.2025
    Tunawapata vizuri Hasa Mr Kizinga 🔥🔥🔥

Radio contacts

Address: P.O.BOX 522 Sumbawanga
Phone: +0764758022 or 0713500953
Email: [email protected]

Time in Sumbawanga: 05:52, 12.06.2025

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

Program

21:00 Amka na Ndingala
Salamu na Habari[ BBC, Magazeti],Habari kwa Ufupi dhumuni ni Kujuliana hali na kuhabarisha Walengwa Watu wote.
22:30 Dawati la Habari
Kuhabarisha,kuelimisha na kuonya na Habari kamili dhumuni ni Kuelimisha jamii na kujadili kero mbalimbali.
01:00 Sauti ya Mtoto
Kuelimisha na kuburudusha watoto dhumuni ni Kuelimisha watoto walengwa ni Watoto na Wazazi.
Entire program