ยืนเคียงข้างยูเครน รักษาสันติสุขในโลกนี้!
Mungu Kwanza
Ni Redio ya Kikristo iliyojikita kulihubiri Neno la Mungu kwa Usahihi wake
รีวิว
Mungu Kwanza
-
Hii redio IPO vizur sana
-
Asante sana Yesu mwana wa Mungu.. Asante sana watumishi wote wa Mungu kwanza. Mungu azidi kuwabariki sanaa
-
Peter Wa Christelle kutoka Africa kusini Maeneyo ya Cape Town Tuko Pamoja kilasiku kwenye Mukesha the Alter hadi kieleweka
-
felister mrosso
22.03.2023
Namshukuru Mungu kwa aajili ya maisha yenu watumishi wetu..muongezeke mbarikiwe mtiwe nguvu kila siku kuifanya kazi ya Bwana.
-
I got to know JESUS through Mungu kwanza altar, it keeps me in the presence of GOD.
-
Sound and clear tuning in from Riyadh saudi Arabia God bless team mzima ya Mungu kwanza online radio
-
Is good
-
Mungu kwanza is the best christian radio
-
Fredy Joseph kutoka Tabata
-
charles migunda
31.07.2022
Charles Migunda Ni redio inayonijenga kiroho niwapo ughaibuni tupo pamoja kutoka hapa Saudi Arabia