Asante MUNGU kwa huduma hii ya kipekee. Redio ya MUNGU kwanza imenibariki na inaendelea kunibariki sana kwa mafundisho, nyimbo na maombi yanayogusa moyo. Endeleeni kumtukuza MUNGU na kuwafikia watu wengi zaidi. Neema na Baraka nyingi kwa timu yote. Ameen.
4
Elizabeth Thomas19.05.2025
naomba wimbo huu urudiwe "Hapa nilipo leo ni nguvu yako" naomba kujua jina la muimbaji wa wimbo huu.
4
Dismas Matovelo15.04.2025
Mungu wetu anakaa ktk Shukrani. Asante kwa Neno. Hakika nimepata "mawe" yenye thamani sana.
5
Amos Emmanuel11.03.2025
Tuko pamoja mtumishi mimi na familia yangu kutoka Tabata
4
Steph Kimwesh10.01.2025
Fair enough to rechout for the gospel evangelism mungu azidi kuwainuwa watumishi weke kupitia hi radio ya mungu kwanza,.live & direct listing from Dammam district saudi arabian through online radio box
5
Joyce Mmary11.07.2024
Mungu ni mwema,Hongera kwa mbeba maono,Mungu aendelee kukutunza kwa kazi yake.
5
Eziron9 Vyats19.01.2024
Hii redio IPO vizur sana
5
Annette Lyimo05.10.2023
Asante sana Yesu mwana wa Mungu.. Asante sana watumishi wote wa Mungu kwanza. Mungu azidi kuwabariki sanaa
5
Bareke Medard09.05.2023
Peter Wa Christelle kutoka Africa kusini Maeneyo ya Cape Town Tuko Pamoja kilasiku kwenye Mukesha the Alter hadi kieleweka
5
felister mrosso22.03.2023
Namshukuru Mungu kwa aajili ya maisha yenu watumishi wetu..muongezeke mbarikiwe mtiwe nguvu kila siku kuifanya kazi ya Bwana.