이 사이트는 cookies을(를) 사용합니다. 이 웹사이트를 계속 사용하면 쿠키 사용에 대한 정책에 동의하는 것으로 간주됩니다.

스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!

×
좋아요 ? 즐겨찾기에 저장하세요
×
좋아요 ? 리뷰를 남겨주세요
×
×
우크라이나와 함께하세요. 세상의 평화를 지키세요!

Mungu Kwanza

평점: 4.8 리뷰: 109
Ni Redio ya Kikristo iliyojikita kulihubiri Neno la Mungu kwa Usahihi wake
149 6

Mungu Kwanza 리뷰

  • 5
    25.08.2025
    Namshukuru Mungu kwa huduma hii. Binafsi nimepata neema ya kupata mafundisho ya mambo mbalimbali kuhusu maisha na jinsi ya kuishi sawasawa na mapenzi ya Mungu. kuepuka changamoto na kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Huduma imenirudisha kwenye nstari. Namrudishia BWANA heshima, Sifa, Utukufu na adhama kwa sababu anastahili.Mungu ambariki mbeba maono na wote mnaofanikisha hii huduma.Kwa Jina la Yesu. Janet Mbene Tanzania
  • 5
    13.06.2025
    Ahsante Mungu Kwa Habari njema ulioachilia kwenye maombi ya usiku wa leo
  • 5
    30.05.2025
    Asante MUNGU kwa huduma hii ya kipekee. Redio ya MUNGU kwanza imenibariki na inaendelea kunibariki sana kwa mafundisho, nyimbo na maombi yanayogusa moyo. Endeleeni kumtukuza MUNGU na kuwafikia watu wengi zaidi. Neema na Baraka nyingi kwa timu yote. Ameen.
  • 4
    19.05.2025
    naomba wimbo huu urudiwe "Hapa nilipo leo ni nguvu yako" naomba kujua jina la muimbaji wa wimbo huu.
  • 4
    15.04.2025
    Mungu wetu anakaa ktk Shukrani. Asante kwa Neno. Hakika nimepata "mawe" yenye thamani sana.
  • 5
    11.03.2025
    Tuko pamoja mtumishi mimi na familia yangu kutoka Tabata
  • 4
    10.01.2025
    Fair enough to rechout for the gospel evangelism mungu azidi kuwainuwa watumishi weke kupitia hi radio ya mungu kwanza,.live & direct listing from Dammam district saudi arabian through online radio box
  • 5
    11.07.2024
    Mungu ni mwema,Hongera kwa mbeba maono,Mungu aendelee kukutunza kwa kazi yake.
  • 5
    19.01.2024
    Hii redio IPO vizur sana
  • 5
    05.10.2023
    Asante sana Yesu mwana wa Mungu.. Asante sana watumishi wote wa Mungu kwanza. Mungu azidi kuwabariki sanaa

라디오 연락처

전화: +255683095434
사이트:
Email: [email protected]
WhatsApp: +255683095434

다르에스살람의 현재 시각: 07:40, 12.05.2025

무료 Online Radio Box 애플리케이션를 스마트폰에 설치하고 언제 어디서나 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 청취하세요!