Deze website gebruikt cookies. Bij het verder gebruiken van deze website, ga je akkoord met onze voorwaarden betreffende cookies.

Installeer de gratis Online Radio Box mobiele applicatie op je smartphone en luister online naar je favoriete radiozenders – waar je ook bent!

×
Leuk ? Sla het op in je favorieten
×
Leuk ? Laat je recensie achter!
×
×
Sta achter Oekraïne. Red de vrede in de wereld!

Mungu Kwanza

Rating: 4.8 Beoordelingen: 109
Ni Redio ya Kikristo iliyojikita kulihubiri Neno la Mungu kwa Usahihi wake
149 8

Nu live Mungu Kwanza

Live BARIKIWA NA MUNGU KILA SIKU KILA SAA UKISIKILIZA RADIO YAKO PENDWA,MUNGU KWANZA ONLINE.
Mungu Kwanza playlist

Mungu Kwanza beoordelingen

  • 5
    28.04.2022
    Inanisaidia can't kiimani na kuniunganisha kiimani na Mungu
  • 5
    27.04.2022
    Jina lake Yesu lisifiwe....nawasikiliza kutoka mombasa kenya, leo ndio mara ya kwanza kuwasikiliza through online,nimebarikiwa na somo takatifu, maombi na nyimbo zenu za injili....naomba mniweke kwa maombi kazi/ kibarua yangu, familia yangu na watoto wangu.....Mwenyezi Mungu awazidishie
  • 5
    13.04.2022
    Bila Mungu Kwanza nisingekuwa hapa nilipo, Mtumishi Erick Brighton na Watumishi wote wa Mungu Kwanza, Mungu awabariki kila muingiapo na mtokako. Me 24/7 nasikiliza hii Radio, siwezi sikiliza zingine kabisa..... Nakuwa na Amani all the time especially na maombi ya kila saa kamili, saa nane usiku najikuta tu nimeamka, huwa nasema ni Holy Spirit ananiamsha kuingia kwenye Maombi.... Jamani Mungu awatunze sans
  • 5
    26.03.2022
    🙏
  • 5
    21.03.2022
    Asante Bwana kwa kuwa unaenda kuniinuwa,kunifuta machozi, kuniondolea aibu na kuniinuwa Bwana Amen🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
  • 5
    19.03.2022
    🙏🙏
  • 5
    11.03.2022
    So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.
  • 4
    20.02.2022
    Nabarikiwa saana Kusikiliza redio hiii…nicipockiliza nahc kuna kitu hakipo sawa…Bwana Yesu apewe sifa…🙏🙏🙏🙏
  • 5
    19.02.2022
    Hii station inani bariki na kunituliza sana kila ninapojisikia mpweke. nawafuata toka Bukavu DRC
  • 5
    11.02.2022
    Nabariki Sana na mafundisho na Maombi ya mahari hapa
  • 5
    11.02.2022
    Nabarikiwa kila siku kwa ku sikiliza Mungu Kwanza. Naitwa Brother Luc or Lucas from USA
  • 5
    04.01.2022
    Shalom mtumishe tuko pamoja ni mimi Sarah kutoka USA.
  • 5
    04.01.2022
    Mungu ninakutukuza na kukuabudu kwa sana I wewe ni Mungu kwanza . Asante kwa radio hii Mungu ya Mungu Kwanza igaguse Roho za watu wako ulimwengu mzima ahadi yako ikapate kutimia kwanza kila hiyo litapigwa na kila ulimi utakiri kwamba wewe ni Bwana na Mwokozi wa Ulimwengu. Amen
  • 4
    20.12.2021
    Excellent Programming and broadcasting only that, its signals requires some adjustments
  • 4
    14.12.2021
    Ahsante Yesu ninabarikiwa na hii redio nikiwa kazini
  • 5
    03.11.2021
    Shalom,tupo pamoja Kaka Erick nabarikiwa sana nanyi Mungu awatunze mno🙏.
  • 5
    30.10.2021
    Nikusanyieni wacha Mungu wangu waliofanya agano nami kwa dhabiu. zaburi 50:5
  • 5
    27.10.2021
    Naitwa Sia Samwel, tupo pamoja Mtumishi.
  • 5
    27.10.2021
    Tuko pamoja mtumishi , anita from Canada
  • 5
    25.10.2021
    Shalom watumishi wa MUNGU.. tupo pamoja sana.. Naitwa Joram mwampamba kutoka Kimara korogwe
  • 5
    13.10.2021
    Shalom Mtumishi wa Mungu tupo pamoja nabarikiwa sana namshukuru sana Mungu leo nimepokea uponyaji ubarikiwe sana
  • 4
    13.10.2021
    Shaloom mchungaji ! Tupo pamoja lucy Nipo Tabata segerea 🙏🙏
  • 5
    30.09.2021
    Bwana awabariki nyote kundi la mazabau Mungu kwanza, awajaz mafuta, mulindwe usiku na mchana, nashukuru kwa yote munafanyiya mataifa mbalimbali. Nazidi kubarikiwa na kusogeleya Mungu kupitiya radio hiyi. Tukutananiyake mbinguni sote.👏✋✋
  • 5
    28.09.2021
    Amen amen
  • 5
    25.09.2021
    Shaloom kaka Erick, tupo pamoja sana na barikiwa sana na huduma hii ya Mungu,mbarikiwe mno watumishi wa Mungu.
  • 5
    23.09.2021
    Naomba niombee Kaka Erick najua Mungu anaweza
  • 5
    22.09.2021
    Tupo pamoja mtumishi, nabarikiwa Sana, Salvina kutoka salasala dar es salaam
  • 5
    11.09.2021
    Tupo pamoja mtumishi ..winnie wa dodoma
  • 5
    28.08.2021
    na barikiwa na radio hii
  • 2
    14.08.2021
    Mungu ni mwema sana, nakupata kutoka Songea ..Evance Pawasa
  • 5
    14.08.2021
    Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
  • 5
    12.08.2021
    Naitwa Love natokea Ukonga , nashukuru Mungu kwa neema hii ya kushiriki mkesha kwa mara ya kwanza. Eeh Mungu naomba sema na moyo wangu . Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
  • 5
    29.07.2021
    Wahda kutoka Musoma Tanzania.We are together
  • 5
    29.07.2021
    Nabarikiwa na Mungu kwanza redio❤️🙏🏼
  • 5
    28.07.2021
    🙏🙏🙏
  • 5
    30.06.2021
    YESU MWANA WA DAUDI USINIPITE BWANA WANGU NIOKOE EEH BABA KWENYE KILA MATEKA NILIPOTEKWA NILIPOFANYWA MAWINDO NIOKOE NA KUNIRUDISHA BABA YANGU MZURI KTK JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH.
  • 5
    22.06.2021
    Eeh mungu wa mataifa yote naomba ukanifungue katika vifungo nilivyofungwa katika maisha yangu..kazi zangu..na biashara zangu...ukaniondolee na laana zote ambazo zinanenwa juu yangu hata sasa ukanifanye kuwa mweupe kuliko theluji...mwili wangu ukawe ni hekalu lako bwana yesu...ukanifutie ukungu ulioko akilin mwangu katika jina la yesu..najikutanisha na madhabahu hii ya mungu kwanza...kupitia hapa kila mmmoja wetu asikilizae akapate uponyaji...Amen🙏
  • 5
    18.06.2021
    Bwana yesu usinipite nikumbuke mimi mtoto wako nitoe katika mikono ya shetani unifungulie vifungo vyangu vyote . niwezeshe Bwana niweze kupata kazi na kuinuliwa kwenye Biashara zangu
  • 4
    17.06.2021
    Asanteni sana Watumishi Wa Mungu Mbarikiwe sana🙏🏾🙏🏾
  • 5
    05.06.2021
    Mwaminifu Mungu uliye haï chini ya musalaba natuliya nikisubiri kama habakuc

Contacten

Telefoon: +255683095434
Site:
Email: [email protected]
WhatsApp: +255683095434

Tijd in Dar es Salaam: 13:37, 12.05.2025

Installeer de gratis Online Radio Box applicatie op je smartphone en luister online naar je favoriete radiozenders – waar je ook bent!