-
Winnie Respiqius
11.09.2021
Tupo pamoja mtumishi ..winnie wa dodoma
-
Dismas Matovelo
03.09.2021
Mungu wetu anakaa ktk Shukrani. Asante kwa Neno. Hakika nimepata "mawe" yenye thamani sana.
-
na barikiwa na radio hii
-
Mungu ni mwema sana, nakupata kutoka Songea ..Evance Pawasa
-
Rhoda Alex Chambo
14.08.2021
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
-
Naitwa Love natokea Ukonga , nashukuru Mungu kwa neema hii ya kushiriki mkesha kwa mara ya kwanza. Eeh Mungu naomba sema na moyo wangu . Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
-
Wahda kutoka Musoma Tanzania.We are together
-
shubi kalabamu
29.07.2021
Nabarikiwa na Mungu kwanza redio❤️🙏🏼
-
🙏🙏🙏
-
YESU MWANA WA DAUDI USINIPITE BWANA WANGU NIOKOE EEH BABA KWENYE KILA MATEKA NILIPOTEKWA NILIPOFANYWA MAWINDO NIOKOE NA KUNIRUDISHA BABA YANGU MZURI KTK JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH.
-
Amina Abdallah
22.06.2021
Eeh mungu wa mataifa yote naomba ukanifungue katika vifungo nilivyofungwa katika maisha yangu..kazi zangu..na biashara zangu...ukaniondolee na laana zote ambazo zinanenwa juu yangu hata sasa ukanifanye kuwa mweupe kuliko theluji...mwili wangu ukawe ni hekalu lako bwana yesu...ukanifutie ukungu ulioko akilin mwangu katika jina la yesu..najikutanisha na madhabahu hii ya mungu kwanza...kupitia hapa kila mmmoja wetu asikilizae akapate uponyaji...Amen🙏
-
Dorica Nshekanabo
18.06.2021
Bwana yesu usinipite nikumbuke mimi mtoto wako nitoe katika mikono ya shetani unifungulie vifungo vyangu vyote . niwezeshe Bwana niweze kupata kazi na kuinuliwa kwenye Biashara zangu
-
Asanteni sana Watumishi Wa Mungu Mbarikiwe sana🙏🏾🙏🏾
-
Mwaminifu Mungu uliye haï chini ya musalaba natuliya nikisubiri kama habakuc
-
Asante Mungu wangu ww uichunguzae mioyo ya wanao na kujibu kadri tukuombavyo,, zidi kunitia nguvu nimaliza safari yangu salama
-
Hawa Nakio
-
🙏🏾🙏🏾
-
Ee Mungu wa haki yangu usinyamaze. Naomba ukarenew mahusiano yangu, ukarenew biashara yangu uchumi wangu Naomba ukanipe divine helpers wanikumbuke kwa upya Naomba uniondolee ukungu katika ufahamu wangu giza nikaishi amri zangu baba najiunganisha na madhabahu ya Mungu kwanza online radio napokea kwa jina la Yesu Amina 🙏
-
Bwana Yesu asifiwe eee Mungu zidi kunifungua katika vifungo ivi vya myaka mingi asante kwa kunifungua neema yako Yesu isiniache nazidi kubalikiwa na Mungu kwanza
-
Mme. Irene kilumanga
04.06.2021
Asanteni sana Watumishi Wa Mungu Mbarikiwe sana🙏🏾🙏🏾
-
Jean-Marie Mujakazi
02.06.2021
Mungu wewe ni Alfa na omega tuna sema Asanti kwa kila kitu na tuna omba utu same ku makosa yote Amen.
-
Happiness Aziz
01.06.2021
Glory to JESUS 🙌🏾🙏🏽
-
Monica Coombes
31.05.2021
Mungu endelea Kubariki mazibao ya Mungu Kwanza. 🙏🙏🙏😇❤.
-
Listening from Texas Maggie
-
Bwana Yesu asifiwe hapo studio leo nimebarikiwa sana na maombi ya leo na pia umenikumbusha kipindi kile cha kesha na praise power back then.naamin Mungu kwanza online radio itakuwa zaidi
-
Nawapenda sana team Mungu kwanza mu mebalikiwa sana Mungu azidi kukuza kazi yake na nashukuru Mungu kwasababu yenu munazidi kunikiza kiloho nakundi abayo natowa emo Mungu kwanza wanabalikiwa sana more blessings
-
Mungu awabariki na azidi kuwatumia katika kutufikishia habari ya neno la Mungu na mambo 🙏
-
Mungu awabariki Sana watumishi
-
Doreen Sengati-odom
28.05.2021
Mbarikiwe!! Asante Baba kwa kuwa umetusikia maombi yetu na bidii katika mfungo huu. Listening from Canberra Australia.
-
Mwamini Lukosi
26.05.2021
Mungu akawe nasi katika mfungo huu namaombi makali hakika hatatuacha kamwe.....
-
Mungu akaonekane kupitia Radio hii na neno lake likapate kutimizwa.barikiwa sana
-
Laisha Msagati
25.05.2021
Mungu awabariki, Watumishi kwa huduma mzuri.🙏🙏
-
Mbarikiwe sana..MUNGU KWANZA🙏🏿🙏🏿
-
🙏🙏🙏
-
Mungu awabariki Sana Watumishi wa Mungu. Nimemuona Mungu Sana Kupitia Crip zenye ujumbe wa neno Mungu. Huduma yenu na ikawe huduma kubwa na iwafikie watu wengi zaidi duniani. Naiona Mungu kwanza yenye redio na Tv kubwa inayowafikia watu duniani kote. Amen
-
Nawapata vyema kabisa toka Kampala. God Bless
-
Mungu azidi kuwatunza watumishi
-
Mwenyezi Mungu azidi kuikuza huduma hii. Amen
-
🙏🙏🙏
-
Mbarikiwe niko Sweden.
-
Asimwe Emanuel
18.05.2021
Bwana Yesu apewe sifa Asimwe mwanza nabarikiwa na nyimbo uku nikiwa ofcn kwa Yesu ni raha Mungu kwanza🙏🏽
-
Ester Stöcklin
17.05.2021
Glory to God tunawapata vyema toka Uswiss
-
Naanyu Lenarokoito
16.05.2021
Praise God Almighty. Listening from Nairobi kenya.
-
Excellent service Grory to Almighty
-
Glory to God. Be blessed always man of God. This is bridge toward to heaven ......
-
Sifa kwa Yesu Kristo. Amen
-
Furaha Solange
14.05.2021
Amen
-
. Redio maalum yenye uhuishaji wa kiroho na Imani , mungu KWANZA popote ulipo tupo ,Jiji kuu la Kenya Nairobi mubashara
-
Mungu azidi kubariki hii kazi ya Redio yetu ya Mungu kwanza
-
Amen amen
-
Raymond Nchimbi
10.05.2021
Asante baba kwa kutusikia
-
Mungu asifiwe milele
-
Mungu ipandishe kwa viwango vya ajabu redio hii ambayo imekuwa faraja kwa wengi ikiwemo Mimi. Gusa moyo wangu bwana naamini ukinigusa nitakuwa salama.