Stůjte za Ukrajinou. Zachraňte světový mír!
Mungu Kwanza
Ni Redio ya Kikristo iliyojikita kulihubiri Neno la Mungu kwa Usahihi wake
To se mi líbí 149
Poslouchej živě
9
Nyní živě Mungu Kwanza
Živě
BARIKIWA NA MUNGU KILA SIKU KILA SAA UKISIKILIZA RADIO YAKO PENDWA,MUNGU KWANZA ONLINE.
Mungu Kwanza Playlist
Mungu Kwanza recenze
Peter Wa Christelle kutoka Africa kusini Maeneyo ya Cape Town Tuko Pamoja kilasiku kwenye Mukesha the Alter hadi kieleweka
felister mrosso
22.03.2023
Namshukuru Mungu kwa aajili ya maisha yenu watumishi wetu..muongezeke mbarikiwe mtiwe nguvu kila siku kuifanya kazi ya Bwana.
I got to know JESUS through Mungu kwanza altar, it keeps me in the presence of GOD.
Sound and clear tuning in from Riyadh saudi Arabia God bless team mzima ya Mungu kwanza online radio
Is good
Mungu kwanza is the best christian radio
Fredy Joseph kutoka Tabata
charles migunda
31.07.2022
Charles Migunda Ni redio inayonijenga kiroho niwapo ughaibuni tupo pamoja kutoka hapa Saudi Arabia
Mungu awabariki
I have no money in my hands it is very hard and I need a stable Job in the name of Jesus Amen
Juliana Gervas
18.07.2022
Shalom Naitwa Juliana Gervasy.. tuko pamoja
Robinson Kisemei
08.07.2022
Hello, pastor Erick. Praise be to our almighty God. I'm Robinson Kisemei Kumary from Loitoktok Kenya.
Teddy Kunulilo
07.07.2022
Naitwa Teddy kutoka Mbezi Dar. Tupo pamoja
Tuko pamoja kutoka Kigali naitwa jane
Asante
USA tupo pamoja 🙏🏽🙏🏽
Asante Mungu
Naomi shashi from singida
God is good we are thy winner. Shalom shalom
Happyness Orio
25.05.2022
Tutashinda katika yeye aliye juu