Stand with Ukraine. Save peace in the world!
Morning Star Radio
Dar es Salaam, 105.3 MHz FM
MORNING STAR RADIO This is a Adventist-Christian radio station, aiming to proclaim the third angel message to all kindred and tongue. It has content for all. Seventh-Day Adventist teachings, community local content just to name a few.
Morning Star Radio reviews
Nabarikiwa nanyi kutokea Tanga.
Grasca William
10.10.2019
Nafarijika sana nikisikia kwaya zikiimba ila kuna kwaya moja ya vijana majengo ya damu ya thamani ina nibariki naomba iweze kupigwa
Kuboja KibaTime
15.08.2019
i love the music, listen from my computer.
Amon Maharindo
02.06.2019
Morning Star mnasikika vyema Kigamboni kwetu. Mungu awabariki sana!
Francis Fidelis
19.05.2019
Mimi nipo Kuwait 🇰🇼 ila nasikiliza Morning fm 📻 najivunia Tanzania 🇹🇿 yangu naipata vizur sana na najiona kama nipo nyumbani inanibarik sana
samwel mwakobela
07.03.2019
Morning Star inasikika vizuri sana
Nabarikiwa sana na vipindi vyenu kwa namna ya pekee. Mungu awabariki sana.
Nice!
Mayunga Makanyaga
11.11.2018
Nabarikiwa sana na uchambuzi mwongozo wa Biblia
kwa kweli mnasema maneno ya maana
Penda sana kidole kugusa hapa
lulu za injili