このサイトはcookiesを使用しています。このウェブサイトを引き続き使用することで、クッキーの使用に関するポリシーに同意したことになります。

無料のOnline Radio Boxアプリをスマートフォンにインストールして、お気に入りのラジオ局をどこにいてもオンラインで聴こう!

×
いいね ? それをお気に入りに保存してください
×
いいね ? レビューを投稿する
×
×

MACHESHA FM RADIO の番組

(現在の場所:Mpanda 01:27)
02:00 03:00 Sports Backup
Kipindi cha habari za michezo kutoka kila kona ya Dunia kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
03:00 06:00 Kibaoni
Kipindi kinachousu Yaliyojiri mitaani yenye kufunza, kuelimisha jamii na kuburudisha kila jumatatu mpaka ijumaa.
06:00 06:20 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
06:20 09:00 The Hits
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
09:00 10:00 Global Round up
Kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kijamii,siasa,saikolojia,mitandaoni na nyinginezo kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
10:00 10:30 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
10:30 11:00 Global Round up
Kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kijamii,siasa,saikolojia,mitandaoni na nyinginezo kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
11:30 13:45 Sports Tune
Kipindi kinachotoa Habari za Michezo iliyojiri na itayotajili kote ulimwenguni kuanzia jumatatu mpaka ijumaa.
13:30 14:30 Mwangaza wa Habari na Matukio
Mkusanyiko wa Habari na matukio kila siku nzima.
14:30 17:00 Night - Trip
Kipindi kinachotoa burudani na kuelimisha katika Nyanja za mahusiano ,sanaa na wanamuziki kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
19:00 22:00 Kesha na Machesha
Burudani ya muziki kila siku.
22:00 23:00 Amka na Machesha
Kipindi kitakachowapa nafasi wasikilizaji kupiga simu na kupeana salamu za asubuhi kila siku.
23:00 02:00 Morning Breakfast
Kipindi cha kijamii ambacho kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu jamii na kuburudisha.

無料のOnline Radio Box アプリをスマートフォンにインストールして、お気に入りのラジオ局をオンラインで聴きましょう - どこにいても!