Instalează aplicația gratuită aplicația mobilă Online Radio Box pe smartphone-ul tău și ascultă-ți online posturile de radio preferate - oriunde te-ai afla!

×
Apreciez ? Salvează-l în favorite
×
Apreciez ? Lăsați o recenzie!
×
×

Morning Breakfast

Dum - Joi
23:00
Kipindi cha kijamii ambacho kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu jamii na kuburudisha kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa. Wasikilizaji ni Umri wa watu wote.

Instalează aplicația gratuită Online Radio Box aplicație pe smartphone-ul tău și ascultă-ți online posturile de radio preferate - oriunde te-ai afla!

Program

03:00 Kibaoni
Kipindi kinachousu Yaliyojiri mitaani yenye kufunza, kuelimisha jamii na kuburudisha kila jumatatu mpaka ijumaa.
06:00 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
06:20 The Hits
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
Întregul program