Bu sayt cookies istifadə edir. Bu vebsaytdan istifadə etməyə davam edərək kukilərin istifadəsi ilə bağlı siyasətimizə razılıq vermiş olursunuz.

Smartfonunuza pulsuz Online Radio Box tətbiqini yükləyin və sevdiyiniz radio stansiyalarını onlayn dinləyin – harada olursunuzsa olun!

×
Bəyən ? Bunu Seçilmişlərinizə yadda saxlayın
×
Bəyən ? Rəyinizi yazın!
×
×

MACHESHA FM RADIO proqramı

(indi Mpanda şəhərində 17:15)
23:00 02:30 Jumapili Yetu
Kipindi cha dini ya kikristo ambacho kitapiga nyimbo za dini ya kikristu na mahubiri.
02:30 04:00 Salamu Za Wagonjwa
Kipindi ambacho kinawapa nafasi wagonjwa kupata faraja,na pole kila siku ya jumapili
04:00 06:00 Twenty Chart
Kuzipanga nyimbo mbalimbali katika chati ya ishirini bora kila siku ya jumapili.
06:00 06:20 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
06:30 08:00 Sports Review
Uchambuzi wa habari za michezo za wiki nzima katika anga la kitaifa na kimataifa.
08:00 10:00 Raggae Ring
Kipindi ambacho kinahusu muziki wa Raggae na wasanii wa muziki huo kila siku ya jumapili.
10:00 10:30 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
10:00 12:00 Enzi Zetu
Kipindi ambacho kitahusu muziki wa dansi wa zamani ,habari za muziki huo na wasanii kila siku ya jumapili.
12:00 13:30 Mwanamke Jasiri
Kipindi cha wanawake ambacho kitatoa habari za wanawake pamoja na mambo yote yanayohusu wanawake kila siku ya jumapili.
13:30 14:30 Kipindi Maalumu
Vipindi vya kibiashara kama mahubiri,matabibu,midahalo(vinazingatia maudhui yenye miiko na maadili ya utangazaji) kila siku jumapili. Wasikilizaji ni Watu wa rika zote.
13:30 15:00 Kipindi Maalumu
Vipindi vya kibiashara kama mahubiri,matabibu,midahalo(vinazingatia maudhui yenye miiko na maadili ya utangazaji) kila siku jumamosi. Wasikilizaji ni Watu wa rika zote.
13:30 14:00 Tunza Dunia
Tunza misitu na Mazingira
14:30 17:00 Jumapili Club
Kipindi kinachohusu kutafuta marafiki,kutafutana kwa watu waliopotezana burudani ya muziki kila siku ya jumapili.
17:00 19:00 Usiku wa Moyo
Kipindi kinacho zungumzia maswala ya Mahusiano
19:00 22:00 Kesha na Machesha
Burudani ya muziki kila siku.
22:00 23:00 Amka na Machesha
Kipindi kitakachowapa nafasi wasikilizaji kupiga simu na kupeana salamu za asubuhi kila siku.
23:00 02:00 Morning Breakfast
Kipindi cha kijamii ambacho kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu jamii na kuburudisha.

Pulsuz Online Radio Box tətbiq tətbiqini smartfonunuza yükləyin və sevimli radio stansiyalarınızı onlayn dinləyin - harada olursanız olun!