Tämä sivusto käyttää cookies. Jatkamalla tämän sivuston käyttöä hyväksyt evästeiden käyttöä koskevat käytäntömme.

Asenna ilmainen Online Radio Box -sovellus älypuhelimeesi ja kuuntele suosikkiradiokanaviasi verkossa – missä tahansa oletkin!

×
Tykkää ? Tallenna se suosikkeihisi
×
Tykkää ? Jätä arvostelusi!
×
×

MAKALA

La
06:00
Muda wa kusikiliza makala mbalimbali za kijamii zilizoandaliwa katika sekta za afya,uchumi,nishati,biashara na michezo kila jumamosi. Wasikilizaji Watu wa rika zote.

Asenna ilmainen Online Radio Box sovellus älypuhelimeesi ja kuuntele suosikkiradiokanaviasi verkossa – missä tahansa oletkin!

Ohjelma

06:30 Afro Hits
Kipindi kinahusu burudani za wasanii wa nyumbani,habari za wasanii wa nyumbani (Katavi) kila siku jumamosi.
09:00 Pwani Yetu
Kipindi cha muziki wa taarabu,historia yake na wanamuziki wa taarabu kila jumamosi.
10:00 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
Koko ohjelma