Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!
Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulama uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!
| 06:00 |
Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
|
| 06:00 |
MAKALA
Muda wa kusikiliza makala mbalimbali za kijamii zilizoandaliwa katika sekta za afya,uchumi,nishati,biashara kila jumamosi.
|
| 06:30 |
Afro Hits
Kipindi kinahusu burudani za wasanii wa nyumbani,habari za wasanii wa nyumbani (Katavi) kila siku jumamosi.
|