Smartfonunuza pulsuz Online Radio Box tətbiqini yükləyin və sevdiyiniz radio stansiyalarını onlayn dinləyin – harada olursunuzsa olun!

×
Bəyən ? Bunu Seçilmişlərinizə yadda saxlayın
×
Bəyən ? Rəyinizi yazın!
×
×

Machesha Fm Habari

B.az - Şə
06:00
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani. Wasikiliza ni Watu wa rika zote.

Pulsuz Online Radio Box tətbiq tətbiqini smartfonunuza yükləyin və sevimli radio stansiyalarınızı onlayn dinləyin - harada olursanız olun!

Program

10:00 Enzi Zetu
Kipindi ambacho kitahusu muziki wa dansi wa zamani ,habari za muziki huo na wasanii kila siku ya jumapili.
12:00 Mwanamke Jasiri
Kipindi cha wanawake ambacho kitatoa habari za wanawake pamoja na mambo yote yanayohusu wanawake kila siku ya jumapili.
13:30 Kipindi Maalumu
Vipindi vya kibiashara kama mahubiri,matabibu,midahalo(vinazingatia maudhui yenye miiko na maadili ya utangazaji) kila siku jumapili. Wasikilizaji ni Watu wa rika zote.
Bütün proqram