Smartfonunuza pulsuz Online Radio Box tətbiqini yükləyin və sevdiyiniz radio stansiyalarını onlayn dinləyin – harada olursunuzsa olun!
Pulsuz Online Radio Box tətbiq tətbiqini smartfonunuza yükləyin və sevimli radio stansiyalarınızı onlayn dinləyin - harada olursanız olun!
| 09:30 |
MARASHI YA MWAMBAO
Muziki wenye asili ya pwani,habari na mahojiano ya wasanii wa muziki huo.
|
| 12:00 |
SHAMBA LETU
Ni kipindi kinachohusu masuala ya kilimo, ufugaji, tafiti mbalimbali za kilimo na ufugaji, ambapo wananchi wanapata fursa ya kuelezea changamoto zao au namna walivyofanikiwa.Wataalamu na viongozi katika sekta ya kilimo hualikwa..
|
| 13:00 |
DJ MIXING
Muziki wenye mahadhi mbalimbali
|