스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!
| 12:00 |
JUKWAA LA SIASA
Kipindi kinachozungumzia masuala ya siasa kikihusisha wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania.
|
| 13:00 |
UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
|
| 13:30 |
SPORTS UNLIMITED
Michezo yote inayojili kitaifa na kimataifa ikiwemo soka,michezo ya asili,mpira wa kikapu,Wavu nk.Kipindi hiki kimesheheni habari za kina na uchambuzi, na makala za michezo.
|