스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!
| 08:30 |
KALI ZA KALE
Kuburudisha na kuelimisha kupitia muziki wa zamani (zilipendwa) wa hapa nyumbani na nchi jirani.
|
| 11:00 |
SHAMBA LETU
Ni kipindi kinachohusu masuala ya kilimo, ufugaji, tafiti mbalimbali za kilimo na ufugaji, ambapo wananchi wanapata fursa ya kuelezea changamoto zao au namna walivyofanikiwa.Wataalamu na viongozi katika sekta ya kilimo hualikwa..
|
| 12:00 |
JUKWAA LA SIASA
Kipindi kinachozungumzia masuala ya siasa kikihusisha wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania.
|