스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!
| 23:00 |
AMAIZING SUNDAY
Kipindi kinacholeta burudani ya muziki wa injili,mahojiano na waimbaji wa injili, Kufundisha na kuonya kupitia Biblia.
|
| 02:00 |
AFYA KWA WOTE
Elimu ya magonjwa mbalimbali na tiba,dondoo za afya na mijadala ya masuala ya afya na maoni kutoka kwa msikilizaji.
|
| 02:30 |
JAMVI LA WANAWAKE
Kuelimisha jamii nzima kuhusu masuala mbalimbali Yanayohusu wanawake na maendeleo katika nyanja ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
|