Ce site Web utilise des cookies. En continuant à utiliser ce site, vous acceptez notre politique relative à l’utilisation des cookies.

Installez l'application mobile gratuite Online Radio Box pour votre téléphone intelligent et d'écouter vos stations de radio préférées en ligne où que vous soyez!

×
J’aime ? Ajouter un favori
×
J’aime ? Écrire un commentaire!
×
×

Programme Uyui Fm Radio (UFR)

(en ce moment à Tabora 19:03)
01:00 03:00 SPORTS BOX
Kipindi kinachozungumzia michezo yote inayojiri kitaifa na kimataifa, ikiwemo soka, michezo ya asili, mpira wa kikapu, n.k. Kipindi hiki kimesheheni habari za kina, uchambuzi na makala mbalimbali za michezo.
03:00 03:02 HABARI KWA UFUPI
Habari zilizojili kitaifa na kimataifa kwa ufupi.
03:02 05:00 MAISHA MBASHARA
Kipindi hiki kinazungumzia mafunzo ya kimaisha malezi ya watoto,urembo na utanashati, tabia pamoja na burudani ya muziki wa Kiswahili na habari nyepesi za nyota wa filamu na muziki.
05:00 06:00 DW
Habari zilizojili kimataifa kutoka kipindi cha "Dunia yetu leo mchana" kutoka redio washirika Radio Deutsche Welle.
06:00 08:00 MIDUNDO PACK
Burudani ya muziki wa kizazi kipya na habari zinazohusu wasanii,muziki na kiwanda cha muziki wa kizazi kipya kitaifa na kimataifa.
08:00 08:30 UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
08:30 11:00 DARAJANI
Kipindi chenye maudhui mseto ikiwemo taarifa za mitandao ya kijamii,habari za siku,uchambuzi,elimu na burudani ya muziki.Hiki ni kipindi cha mazungumzo ya jioni kinachohitimisha siku.
11:00 12:00 KAMBI SALAMA
Kipindi kinacholeta simulizi na mikasa ya kweli na kusisimua kupitia ushuhuda wa watu ambao wamepitia changamoto mbalimbali katika maisha.Lengo la kipindi hiki ni kuelimisha jamii,kurekebisha tabia kupitia mafunzo yatokanayo......
12:00 13:00 DJ MIXING
Burudani ya muziki wenye mahadhi tofauti tofauti
13:00 13:30 UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
13:30 15:00 SPORTS UNLIMITED
Michezo yote inayojili kitaifa na kimataifa ikiwemo soka,michezo ya asili,mpira wa kikapu,Wavu nk.Kipindi hiki kimesheheni habari za kina na uchambuzi, na makala za michezo.
15:00 16:00 AMSHA NGOMA
Burudani ya muziki ambayo inahusisha kuchanganya nyimbo kwa kutumia mbinu mbalimbali za dj (dj skills) pamoja hyping kutoka kwa Dj.
16:00 18:00 TONE LA ASALI
Kipindi kinachozungumzia mahusiano na ndoa ikiambatana na burudani ya muziki laini.
18:00 22:00 JIACHIE
Burudani ya muziki mchanganyiko,salamu na mijadala ya mada nyepesi.Kipindi hiki hushirikisha zaidi msikilizaji kwa kupiga simu na kutuma ujumbe mfupiwa maandishi.
22:00 01:00 KIFUNGUA KINYWA
Kipindi kinachozungumzia matukio, habari, usalama barabarani, dondoo za michezo na mijadala mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. Kipindi hiki kinahusisha maoni ya wasikilizaji kwa njia ya simu na ujumbe mfupi...

Installez l'application gratuite Online Radio Box pour votre téléphone intelligent et d'écouter vos stations de radio préférées en ligne où que vous soyez!