Asenna ilmainen Online Radio Box -sovellus älypuhelimeesi ja kuuntele suosikkiradiokanaviasi verkossa – missä tahansa oletkin!
| 22:00 01:00 |
KIFUNGUA KINYWA
Kipindi kinachozungumzia matukio, habari, usalama barabarani, dondoo za michezo na mijadala mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. Kipindi hiki kinahusisha maoni ya wasikilizaji kwa njia ya simu na ujumbe mfupi...
|
|
| 01:00 03:00 |
SPORTS BOX
Kipindi kinachozungumzia michezo yote inayojiri kitaifa na kimataifa, ikiwemo soka, michezo ya asili, mpira wa kikapu, n.k. Kipindi hiki kimesheheni habari za kina, uchambuzi na makala mbalimbali za michezo.
|
|
| 03:00 03:02 |
HABARI KWA UFUPI
Habari zilizojili kitaifa na kimataifa kwa ufupi.
|
|
| 03:02 05:00 |
MAISHA MBASHARA
Kipindi hiki kinazungumzia mafunzo ya kimaisha malezi ya watoto,urembo na utanashati, tabia pamoja na burudani ya muziki wa Kiswahili na habari nyepesi za nyota wa filamu na muziki.
|
|
| 05:00 06:00 |
DW
Habari zilizojili kimataifa kutoka kipindi cha "Dunia yetu leo mchana" kutoka redio washirika Radio Deutsche Welle.
|
|
| 06:00 08:00 |
MIDUNDO PACK
Burudani ya muziki wa kizazi kipya na habari zinazohusu wasanii,muziki na kiwanda cha muziki wa kizazi kipya kitaifa na kimataifa.
|
|
| 08:00 08:30 |
UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
|
|
| 08:30 11:00 |
TUNU ZA KIISLAMU
Lengo la kipindi hiki ni kufundisha, kuonya, kupitia Kitabu cha Quran, tukufu na kutoa burudani yenye maadili ya kiislam.
|
|
| 11:00 12:00 |
KAMBI SALAMA
Kipindi kinacholeta simulizi na mikasa ya kweli na kusisimua kupitia ushuhuda wa watu ambao wamepitia changamoto mbalimbali katika maisha.Lengo la kipindi hiki ni kuelimisha jamii,kurekebisha tabia kupitia mafunzo yatokanayo......
|
|
| 12:00 13:00 |
DJ MIXING
Burudani ya muziki wenye mahadhi tofauti tofauti
|
|
| 13:00 13:30 |
UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
|
|
| 13:30 15:00 |
SPORTS UNLIMITED
Michezo yote inayojili kitaifa na kimataifa ikiwemo soka,michezo ya asili,mpira wa kikapu,Wavu nk.Kipindi hiki kimesheheni habari za kina na uchambuzi, na makala za michezo.
|
|
| 15:00 16:00 |
AMSHA NGOMA
Burudani ya muziki ambayo inahusisha kuchanganya nyimbo kwa kutumia mbinu mbalimbali za dj (dj skills) pamoja hyping kutoka kwa Dj.
|
|
| 18:00 22:00 |
JIACHIE
Burudani ya muziki mchanganyiko,salamu na mijadala ya mada nyepesi.Kipindi hiki hushirikisha zaidi msikilizaji kwa kupiga simu na kutuma ujumbe mfupiwa maandishi.
|
|
| 22:00 02:00 |
KONTENA
Kipindi kinachozungumzia matukio, habari zilizotokea ndani ya wiki na mijadala ya Habari na kifamilia Kipindi hiki kinahusisha maoni ya msikilizaji kwa njia simu,ujumbe mfupi na mitandaoni.
|
Asenna ilmainen Online Radio Box sovellus älypuhelimeesi ja kuuntele suosikkiradiokanaviasi verkossa – missä tahansa oletkin!