Hii ni redio ya kibiashara iliyopo mkoani Ruvuma katika wilaya ya Namtumbo inakupa habari burudai zote pamoja na michezo kupitia masafa ya 88.1 #Tukutanesite #Tukutanekazini
Tunaipenda radio yetu ya mkoa wa ruvuma iliyopo wilaya namtumbo tunashukuru sana tunaomba dhidi kuboresha mawimbi ya radio yenu iliweza kufika mbali zaidi hata kwenye vijiji ambavyo viko mbali sana na wilaya namtumbo ili tuweze kuwapata kwa uzuri zaidi