Laman web ini menggunakan cookies. Dengan meneruskan penggunaan laman web ini, anda bersetuju dengan dasar kami berkenaan penggunaan kuki.
Video Player is loading.
Current Time 0:00
Duration -:-
Loaded: 0%
Stream Type LIVE
Remaining Time -:-
1x

Pasang aplikasi mudah alih Online Radio Box yang percuma dan dengar stesen radio kegemaran anda secara dalam talian – di mana jua anda berada!

×
×
Berdiri bersama Ukraine. Kekalkan keamanan di dunia!

Sauti ya Injil

Moshi, 92.2 MHz FM
Penilaian: 4.8 Ulasan: 32
Radio Sauti ya Injili ni Mfariji na Rafiki yako wakati wote.
79 0

Ulasan-ulasan Sauti ya Injil

  • 5
    04.09.2020
    Nawapata vilivyo na Nina farijika kwa nyimbo nzuri za kumsifu Bwana ni mimi Moses Ndeni wa Chimala Mbarali Mbeya nawasikiliza Online
  • 5
    10.07.2020
    Nawapata vizuri kupitia mtandao , Niko Unguja, Zanzibar. Mbarikiwe
  • 4
    03.05.2020
    Nabalikiwa Asante Mtumishi
  • 5
    02.05.2020
    Amen Amen nabarikiwa sana
  • 5
    29.04.2020
    Mungu awe nanyi siku zote
  • 5
    08.03.2020
    vipindi vyenu vinanibariki sana
  • 4
    04.03.2020
    Jamani mwisho wa maombi msitukatishe kwa kuongea sana ,, msikate upoako jamani watangazaji
  • 3
    21.02.2020
    Ok
  • 5
    25.01.2020
    Sifa na Utukufu zote Ni zake Mungu.Asanteni kwa chakula Cha Bwana.
  • 5
    21.01.2020
    YeahI'
  • 5
    31.12.2019
    Amina sana nawapata online bila ya shida yoyote bwana yesu asifiwe!!@Isaia mustapha
  • 5
    26.12.2019
    I catch the radio clearly.
  • 5
    15.12.2019
    Nina yipenda radio saut yainjili imenirekebisha Niko hapa america Ohio
  • 5
    06.10.2019
    nawapata
  • 5
    05.07.2019
    I LOVE THIS CHANNEL EVER
  • 5
    07.03.2019
    emanuel codius from dar es salaam nabarikiwa sana na vipindi vya redio sauti ya injili MUNGU awabariki sana
  • 3
    17.02.2019
    To listen through internet
  • 4
    03.12.2018
    Wengi wamepotea katika maneno ya Mungu.7:22 Baba Kutakuwa ...... wa Mungu; katika mahubiri yetu kwa-ke, sisi ni yeye katika dunia hii.
  • 5
    30.09.2018
    Mbarikiwe mno
  • 5
    30.09.2018
    Barikiweni saana watumishi, tunawapata vizurii.

Kenalan radio

Alamat: P.O. BOX 777, MOSHI-TANZANIA, E.A.
Telefon: +(+255)-(0)27-27 53080
Laman:
Email: redio@elct.org
Facebook: @www.sautiyainjili.org

Mob: (+255)-0786-300999

Masa di Moshi: 10:29, 04.27.2025

Pasang aplikasi Online Radio Box yang percuma dan dengar stesen radio kegemaran anda secara dalam talian – di mana jua anda berada!