Tämä sivusto käyttää cookies. Jatkamalla tämän sivuston käyttöä hyväksyt evästeiden käyttöä koskevat käytäntömme.

Asenna ilmainen Online Radio Box -sovellus älypuhelimeesi ja kuuntele suosikkiradiokanaviasi verkossa – missä tahansa oletkin!

×
Tykkää ? Tallenna se suosikkeihisi
×
Tykkää ? Jätä arvostelusi!
×
×

AMAZING PRAISE (Utukufu wa Bwana)

Ma - Pe
07:00
Mahala pekee ambapo msikilizaji anapata nyimbo nzuri za kusifu uweza na ukuu wa Mungu zilizopangiliwa vizuri, Muziki wenye Ubora na Ustadi wa Uimbaji, kwa kuzingatia Zaburi, 33:1 – 22.

Asenna ilmainen Online Radio Box sovellus älypuhelimeesi ja kuuntele suosikkiradiokanaviasi verkossa – missä tahansa oletkin!

Ohjelma

12:00 DIRA YA SIKU
Kila mmoja ajue habari, matukio na maagizo, maelekezo mbalimbali kutoka katika mamlaka mbalimbali ikiwemo Serikali
13:00 MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari njema za Yesu Kristo na kuwavuta kuja kwake (kuokolewa)
16:00 NJOZI NJEMA
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika mbalimbali ya kijamii kupitia redio.
Koko ohjelma