이 사이트는 cookies을(를) 사용합니다. 이 웹사이트를 계속 사용하면 쿠키 사용에 대한 정책에 동의하는 것으로 간주됩니다.

스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!

×
좋아요 ? 즐겨찾기에 저장하세요
×
좋아요 ? 리뷰를 남겨주세요
×
×

TUNDUMA NLC FM 프로그램

(현재 Songwe 09:03)
23:00 01:00 MUZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu wanapata mrejesho chanya juu ya shughuli, biashara au huduma wanazotangazia uma sambamba na kuhabarisha jamii
01:00 03:00 TUZUNGUMZE
Kuhakikisha kero zinatatuliwa kwenye jamii na watu kupata majibu juu ya masuala yanayowatatiza
03:00 04:00 SAYARI YA WATOTO
Kuwafanya watoto ambao ni taifa la sasa na baadae kujua mambo mbalimbali yanayowahusu nyumbani na shuleni
04:00 05:00 MZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu wanapata mrejesho chanya juu ya shughuli, biashara au huduma wanazotangazia uma sambamba na kuhabarisha jamii.
05:00 09:00 CHAGUO LA MSIKILIZAJI
Kueneza injili ya Yesu Kristo kwa njia ya nyimbo
09:00 09:20 TAARIFA YA HABARI
Kuwapasha habari zinazojiri kwa siku husika
09:20 12:00 MATANGAZO YA JIONI
Elimu, burudani na habari
12:00 16:00 MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari njema za Yesu Kristo na kuwavuta kuja kwake
16:00 18:00 NJOZI NJEMA
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika maeneo mbalimbali ya kijamii kupitia redio.
18:00 22:00 SLOW GOSPEL SONGS
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika mbalimbali ya kijamii kupitia redio.
22:00 23:00 MORNING GLORY
Kuhakikisha kila mmoja anaanza siku yake na Bwana (MUNGU) kulingana 1Tim 2:1-4
23:00 03:00 TWENDE KANISANI
Kuhakikisha kila mtu anashiriki ibada

무료 Online Radio Box 애플리케이션를 스마트폰에 설치하고 언제 어디서나 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 청취하세요!