Den här webbplatsen använder cookies. Genom att fortsätta använda denna webbplats godkänner du vår policy om användning av kakor.

Installera den kostnadsfria Online Radio Box-appen på din smartphone och lyssna på dina favoritstationer online – var du än är!

×
Gilla ? Spara den i dina favoriter
×
Gilla ? Lämna din recension!
×
×

Program Ndingala Fm 93.3 Mhz

(nu i Sumbawanga 17:52)
23:30 02:00 Dawati la Habari
Kuhabarisha,kuelimisha na kuonya na Habari kamili dhumuni ni Kuelimisha jamii na kujadili kero mbalimbali.
02:00 03:00 Sauti ya Mtoto
Kuelimisha na kuburudusha watoto dhumuni ni Kuelimisha watoto walengwa ni Watoto na Wazazi.
03:00 05:00 Kona ya vijana
Kuelimisha Vijana walengwa ni vijana wa jinsi zote
05:00 05:15 Habari kwa ufupi
Kuhabarisha habari za jamii walengwa Wasikilizaji wote.
05:15 06:00 Afya yako
Kuelimisha jamii kuhusu afya dhumuni Jamii kujifunza namna ya kutunza afya na kujiepusha na magonjwa.
06:00 06:30 Idhaa ya kiswahili ya Dw
Kuhabarisha jamii habari za duniani kote.
06:30 08:30 Raha za pwani
Kuonya, Kukosoa na kuelimisha jamii dhumuni ni Jamii kubadilika pale inapokosea.
08:30 09:30 Rukwa Stand up
Kuonya na kuelimisha jamii dhumuni ni kuelimisha Jamii kupitia mikasa mbalimbali.
09:15 10:30 Safari Njema
Kuelimisha jamii dhumuni ni Jamii kupata elimu juu ya usalama barabarani na majumbani.
11:00 12:00 Bolingo
Kuburudisha jamii dhumuni ni Jamii kuburudika kupitia muziki wa Bolingo.
12:00 13:00 Viwanjani leo
Kuburudisha habari za michezo Jamii kujua mechi zinazoendelea duniani kote Wasikilizaji wote.
13:00 15:00 Jarida la Habari
Kuhabarisha habari jamii.
15:00 17:00 Usiku wa Midundo
Kuburudisha Jamii Kuelimisha na kuburudisha kupitia Muziki
22:00 23:30 Amka na Ndingala
Salamu na Habari[ BBC, Magazeti],Habari kwa Ufupi dhumuni ni Kujuliana hali na kuhabarisha Walengwa Watu wote.

Installera gratisappen Online Radio Box applikation på din smartphone och lyssna på dina favoritstationer online – var du än är!