Instala la aplicación gratis Online Radio Box para su teléfono y escucha sus estaciones de radio en línea favoritas dondequiera que esté!

×
Like ? Guardar en tus Favoritos
×
Like ? ¡Deja tu reseña!
×
×

Programación Ndingala Fm 93.3 Mhz

(hora actual en Sumbawanga 12:38)
01:00 03:00 Habari za michezo
Kupatia taarifa za michezo yote inayoendelea duniani kote. Wasikilizaji wote.
02:00 03:00 Mawaidha ya kiislam
Kutoa elimu juu ya dini ya kiislam na kupiga nyimbo za kaswida.Wasikilizaji wote
03:00 03:05 Habari kwa ufupi
kuhabarisha jamii
03:05 05:00 Safari mseto
Kujadili kero mbalimbali katika jamii na kuelimisha dhumuni ni Kuelimisha, kuonya na kuburudisha jamii.
05:00 05:30 Idhaa ya kiswahili ya Dw
Kuhabarisha jamii habari za duniani kote.
05:30 08:00 Muziki nyuzi 360
Kuburudisha jamii na Habari kwa Ufupi dhumuni Kuburudisha na kuelimisha kwa njia ya muziki.
08:00 08:30 Jicho la Muhariri
Kuhabarisha jamii
08:30 11:00 Barazani kwetu
Kuelimisha na kuhabarisha jamii dhumuni Jamii kujua matukio na kero mbalimbali Wasikilizaji wote.
11:00 12:00 Viwanjani leo
Kuburudisha habari za michezo Jamii kujua mechi zinazoendelea duniani kote Wasikilizaji wote.
12:00 14:00 Jarida la Habari
Kuhabarisha habari jamii.
14:00 16:00 Usiku wa Midundo
Kuburudisha Jamii Kuelimisha na kuburudisha kupitia Muziki
21:00 22:30 Amka na Ndingala
Salamu na Habari[ BBC, Magazeti],Habari kwa Ufupi dhumuni ni Kujuliana hali na kuhabarisha Walengwa Watu wote.
22:30 01:00 Dawati la Habari
Kuhabarisha,kuelimisha na kuonya na Habari kamili dhumuni ni Kuelimisha jamii na kujadili kero mbalimbali.

Instala la aplicación gratis Online Radio Box para su teléfono y escucha sus estaciones de radio en línea favoritas dondequiera que esté!