Situs web ini menggunakan cookies. Dengan melanjutkan menggunakan situs web ini, Anda setuju dengan kebijakan kami terkait dengan penggunaan cookies.

Pasang aplikasi seluler Online Radio Box gratis untuk ponsel pintar Anda dan dengarkan stasiun radio favorit Anda secara online – di mana pun Anda berada!

×
Sukai ? Simpan di favorit Anda
×
Sukai ? Tuliskan ulasan Anda!
×
×
Bela Ukraina. Lindungi perdamaian di dunia!

Tarime FM

Nilai: 5.0 Ulasan: 6
Tarime FM Online Radio ni redio ya kisasa ya mtandaoni inayorusha matangazo yake moja kwa moja kupitia intaneti. Ni jukwaa huru na la kidigitali linalolenga kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha jamii ya Tarime, mkoa wa Mara, Tanzania na Watanzania wote popote walipo duniani. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mtandao, Tarime FM imekuwa daraja linalounganisha wananchi wa ndani na wa diaspora kwa kuwafikishia habari, mijadala ya kijamii, muziki na vipindi vya moja kwa moja vinavyogusa maisha ya kila siku. Tampilkan selengkapnya
8 0

Sekarang langsung Tarime FM

Langsung Tarime Mchanganyiko.m4a
10:34 ZILIPENDWAMUSIC - MAKASY JUNIOR BABA PAROKO new)
Daftar putar Tarime FM

Lagu papan atas di Tarime FM

Hamadai - Hamadai Feat Linah - NipeHamadai — Nipe (feat. Linah)
D VOICE - NOD Voice — No

Ulasan Tarime FM

  • 5
    18.07.2024
    VOT tupo live tunasapoti jitkhada
  • 5
    05.06.2024
    VOT on fire tumewasha🔥
  • 5
    02.06.2023
    Nice music
  • 5
    01.06.2023
    radio nzur na inatupa burudani safi uku zanzibar
  • 5
    31.05.2023
    Pamoja Sana kwa burudan
  • 5
    31.05.2023
    WELCOME ALL

Informasi tentang radio

? Vipengele Muhimu

Habari za uhakika – za kitaifa, kimataifa na hasa zinazohusu Tarime na mkoa wa Mara.

Elimu kwa jamii – vipindi vya siasa, afya, kilimo, biashara, mazingira na teknolojia.

Burudani – muziki wa ndani na nje, vipindi vya vijana na tamaduni.

Mijadala ya moja kwa moja (Live Talk Shows) – fursa ya wananchi kutoa maoni, kuuliza maswali na kushiriki mawazo yao.

? Tunapatikana

Kila mtu anaweza kusikiliza Tarime FM Online Radio kupitia simu janja (smartphones), kompyuta na vifaa vyote vilivyounganishwa na intaneti, popote pale duniani.

Kontak radio

Telepon: +255746132044
Situs:
Email: [email protected]
Viber: +255746132044
WhatsApp: +255656114499
Youtube: @voiceoftarime

Waktu di Tarime: 02:08, 01.10.2026

Pasang aplikasi Online Radio Box gratis untuk ponsel pintar Anda dan dengarkan stasiun radio favorit Anda secara online – di mana pun Anda berada!