Madhabahu yenye Nguvu hakika Niko dodoma napata vyema
5
clouds clouds27.08.2024
Namshukuru Mungu sana Juu ya hii redio najidai kwa kua napata chakula bora cha kiroho, naomba media team waendelee ikiwezekana tupate podcast kwenye digital platform nyingine nimeteseka kuja kugundua hii redio ipo huku pia. MBARIKIWE NA MUNGU AWABARIKI
5
Wema Peter14.08.2024
🌟🌟⭐⭐⭐⭐
5
B Zablon senior17.05.2024
namtukuza sana Mungu kwaajili ya mbingu duniani fm namuitaga mwalimu Onesmo jiwe au rungu la bwana kwa sasa niko napatikana karatu.
5
FREDY MAKONGOCHE07.03.2024
Nimekuwa nikiwafuatilia kutoka Dodoma.. Tanzania.. Hakika Ibaada za Mtumishi wa MUNGU zimekuwa baraka kwa wengi saana..
5
Erasto Ngalesoni26.01.2024
Listening from nanyamba mtwara
4
Meleji Kitumi22.01.2024
Powerful, A year of possessing your possessions
4
Nelly Michael20.12.2023
listening all the way from mtwara.....
5
Ella Emanuel18.12.2023
Mbingu Duniani Fm ni Madhabahu ya Neno na Maombi kweli kweli ni Radio isiyobabaisha🥰🥰