Naomba uniombee mtumishi nateseka Sana toka mwaka Jana nilipata ajali mbaya Sana nikavunjika mguu.mpaka sasa nimefanyiwa upasuaji mara Saba.naomba uniombee
5
FAITH LAZARO03.09.2025
Hakika hii ni Madhabahu kamili tunabarikwa nayo Mungu azidi kuweka mkono wake katika huduma hii ya Mbingu Duniani na vyote vinavyoambatana na huduma hii 🙏🏻
5
Raufu Yusuph02.09.2025
mbingu duniani radio ni madhabahu kamili
5
Elly-naike Nkya12.06.2025
Kweli Mbingu Duniani FM radio ni BUFEEEE, chochote unapata, ukitaka neno, upako, kibali, maombi, miujiza,ushauri, kuabudu, kusifu, kumkabidhi Yesu maisha yako na kukulia wokovu na kuwa giant vyote unapata! Mungu azidi kukuweka, maana wewe ni tunu, dhahabu kwa watu wengi duniani! You are special and unique. Kila kitu unachotufanyia unaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu. Walioshindikana/kilichoshindikan a wakifika/kikifika Jumba la Miujiza tunasemaga KWISHAAAAAAAA
5
zakayo munisi16.03.2025
HII NI MADHABAHU YA NENO NA MAOMBI ,MBARIKIWE SANA WATUMISHI ONLINE NINAWAPATA
4
Nourah Mambo27.02.2025
..
5
Kilasi Justine16.02.2025
Mungu ni Mzuri
5
Dorcas John26.01.2025
My special year of Dominion 👑
5
Calvin Jonathan17.01.2025
Nimebarikiwa na somo zuri, na nimepokea fursa pamoja na watu sahihi kutoka kwa Mungu 🙏
Усталюйце дадатак Online Radio Box для вашага смартфона і слухайце любімыя радыёстанцыі онлайн, дзе б вы ні знаходзіліся! Цяпер ваша любімае радыё ў вас у кішэні, дзякуючы нашаму зручнаму дадатку.