스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!
| 06:20 |
The Hits
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
|
| 09:00 |
Global Round up
Kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kijamii,siasa,saikolojia,mitandaoni na nyinginezo kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
|
| 10:00 |
Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
|