Ši svetainė naudoja cookies. Tęsdami naršymą šioje svetainėje, sutinkate su mūsų slapukų naudojimo politika.

Įdiekite nemokamą Online Radio Box programėlę į savo išmanųjį telefoną ir klausykitės mėgstamų radijo stočių internetu – kad ir kur būtumėte!

×
Patinka ? Išsaugokite tai savo Parankiniuose
×
Patinka ? Palikite savo atsiliepimą!
×
×

Enzi Zetu

Sek
10:00
Kipindi ambacho kitahusu muziki wa dansi wa zamani ,habari za muziki huo na wasanii kila siku ya jumapili. Wasikilizaji ni Watu wa rika la kati na wazee.

Įdiekite nemokamą Online Radio Box programėlė į savo išmanųjį telefoną ir klausykitės mėgstamų radijo stočių internetu – kad ir kur būtumėte!

Programa

03:00 Kibaoni
Kipindi kinachousu Yaliyojiri mitaani yenye kufunza, kuelimisha jamii na kuburudisha kila jumatatu mpaka ijumaa.
06:00 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
06:20 The Hits
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
Visas programos