Paigalda tasuta Online Radio Box äpp oma nutitelefoni ja kuula oma lemmikraadiojaamu internetis – ükskõik kus sa oled!

×
Meeldib ? Salvesta see oma lemmikutesse
×
Meeldib ? Jäta oma arvustus!
×
×

Amka na Machesha

P - L
22:00
Kipindi kitakachowapa nafasi wasikilizaji kupiga simu na kupeana salamu za asubuhi kila siku kuanzia jumatatu mpaka jumapili. wasikilizaji ni Watu wa rika zote.

Installige tasuta Online Radio Box rakendus oma nutitelefoni ja kuulake oma lemmikraadiojaamu võrgus - ükskõik kus te ka ei viibiksite!

Programm

06:20 The Hits
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
09:00 Global Round up
Kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kijamii,siasa,saikolojia,mitandaoni na nyinginezo kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
10:00 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
Kogu programm