Installa l'applicazione mobile gratuita Online Radio Box per il tuo smartphone e ascolta le tue stazioni radio online preferite – ovunque ti trovi!

×
Mi piace ? Salvalo nei tuoi preferiti
×
Mi piace ? Lascia una recensione!
×
×

The Hits

Lun - Ven
06:20
Kipindi cha burudani kinachotoa taarifa mbalimbali za wasanii,mahojiano,muziki na burudani. Walengwa ni Vijana jinsia zote.

Installa l'applicazione gratuita Online Radio Box per il tuo smartphone e ascolta le tue stazioni radio online preferite – ovunque ti trovi!

Programma

10:00 Enzi Zetu
Kipindi ambacho kitahusu muziki wa dansi wa zamani ,habari za muziki huo na wasanii kila siku ya jumapili.
12:00 Mwanamke Jasiri
Kipindi cha wanawake ambacho kitatoa habari za wanawake pamoja na mambo yote yanayohusu wanawake kila siku ya jumapili.
13:30 Kipindi Maalumu
Vipindi vya kibiashara kama mahubiri,matabibu,midahalo(vinazingatia maudhui yenye miiko na maadili ya utangazaji) kila siku jumapili. Wasikilizaji ni Watu wa rika zote.
Tutto il programma