이 사이트는 cookies을(를) 사용합니다. 이 웹사이트를 계속 사용하면 쿠키 사용에 대한 정책에 동의하는 것으로 간주됩니다.

스마트폰에 무료 Online Radio Box 앱을 설치하고 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 어디서든 들어보세요!

×
좋아요 ? 즐겨찾기에 저장하세요
×
좋아요 ? 리뷰를 남겨주세요
×
×

MACHESHA FM RADIO 프로그램

(현재 Mpanda 03:38)
23:00 02:00 Morning Bell
Kipindi cha kijamii ambacho kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu jamii na kuburudisha kila siku ya jumamosi.
02:00 03:00 Watoto Shangwe
Kipindi cha watoto ambacho kitahusu elimu,sanaa,vipaji na ubunifu. kila siku ya jumamosi
03:00 04:00 Twende Shambani
Kipindi kitakachohusu kilimo na masuala yote yanayousu kilimo kila siku ya Jumamosi.
04:00 06:00 Dance na Rhumba
Kipimdi cha burudani ya muziki wa Afrika katika miondoko ya dansi,Rhumba na bolingo habari za wasanii wa muziki huo na taarifa za muziki huo kila siku ya jumamosi.
06:00 06:30 MAKALA
Muda wa kusikiliza makala mbalimbali za kijamii zilizoandaliwa katika sekta za afya,uchumi,nishati,biashara kila jumamosi.
06:00 06:20 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
06:30 09:00 Afro Hits
Kipindi kinahusu burudani za wasanii wa nyumbani,habari za wasanii wa nyumbani (Katavi) kila siku jumamosi.
09:00 11:30 Pwani Yetu
Kipindi cha muziki wa taarabu,historia yake na wanamuziki wa taarabu kila jumamosi.
10:00 10:30 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
11:30 13:45 Sports Tune
Kipindi kinachotoa Habari za Michezo iliyojiri na itayotajili kote ulimwenguni kuanzia jumatatu mpaka ijumaa.
13:30 14:30 Mwangaza wa Habari na Matukio
Mkusanyiko wa Habari na matukio kila siku nzima.
15:00 17:00 Weekend Vible
Kipindi kinachohusu burudani ya muziki,mahojiano na wanamuziki na kupambanisha wasanii wa mkoa wa Katavi katika sanaa kila siku ya jumamosi.
19:00 22:00 Kesha na Machesha
Burudani ya muziki kila siku.
22:00 23:00 Amka na Machesha
Kipindi kitakachowapa nafasi wasikilizaji kupiga simu na kupeana salamu za asubuhi kila siku.
23:00 02:30 Jumapili Yetu
Kipindi cha dini ya kikristo ambacho kitapiga nyimbo za dini ya kikristu na mahubiri.

무료 Online Radio Box 애플리케이션를 스마트폰에 설치하고 언제 어디서나 좋아하는 라디오 방송을 온라인으로 청취하세요!