Denne hjemmeside anvender cookies. Ved fortsat at bruge hjemmesiden accepterer du vores politik for brug af cookies.

Installer den gratis Online Radio Box-appen på din smartphone, og lyt til dine foretrukne radiostationer online – uanset hvor du er!

×
Synes godt om ? Gem i favoritter
×
Synes godt om ? Giv din anmeldelse
×
×
Støt Ukraine. Red freden i verden!

Radio Kwizera

Ngara, 97.9 MHz FM
Bedømmelse: 4.0 Anmeldelser: 38
Radio Kwizera ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na shirika la huduma kwa wakimbizi la Kijesuiti (Jesuit Refugee Service - JRS) ili kutoa huduma za kijamii, elimu, na habari kwa wakimbizi kutoka Rwanda na Burundi waliokuwa wanaishi katika kambi za wakimbizi mkoani Kagera na Kigoma, Tanzania. Kwa sasa, Radio Kwizera imekua na kupanua huduma zake hadi kufikia mamilioni ya watu katika mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida, na hata maeneo ya nchi jirani za Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
85 4

Anmeldelser af Radio Kwizera

  • 4
    06.02.2022
    Niliwakumbuka Kwizera Fm.. nasikiliza online nikiwa Mbeya Tanzania! John Castory kutoka Kasulu Kigoma.
  • 5
    24.12.2021
    Nawapata online nikiwa dar es salaam by respicious zacharia kahoza mwihukeyo numusi mkuru
  • 4
    14.01.2021
    nice
  • 2
    12.01.2021
    Hillary locked kutoka migori kenya
  • 1
    06.01.2021
    Mmetisha Sana nawapata vyema nipigie ngoma ya lavalava bado sana
  • 5
    29.08.2020
    Naitwa Crosby Shukuru , nawapata 100% online nikiwa Phoenix,Arizona.
  • 5
    30.07.2020
    RK nawapata vema kupitia online nikiwa DSM
  • 5
    22.06.2020
    Naitwa Gervas bitwale kutok Lusaka Zambia
  • 4
    01.06.2020
    Innocent Evarister toka Rulenge ngara kagera Tanzania. Nawapata vyeeema kabisa kupitia tune in radio station. Hakika nafarijika. Naelimika saana hasa pale ninapoisikiliza Radio ya nyumbani solute kwa watangazaji wasikilizaji na wadau woote wa radio kwizera.
  • 4
    16.05.2020
    Nakusikiliza kutokea Sumbawanga

Radio kontakter

Adresse: P.O. Box 154 Ngara, Kagera, Tanzania
Telefon: +255282226079
Hjemmeside:
Email: [email protected]
Facebook: @radiokwizera
Twitter: @radiokwizera
Instagram: @radiokwizerafm_
Youtube: @KwizeraTVTanzania

[email protected]

Klokken i Ngara: 10:54, 11.07.2026

Installer den gratis Online Radio Box applikation på din smartphone, og lyt til dine foretrukne radiostationer online – uanset hvor du er!