Ova veb-lokacija koristi cookies. Ako nastavite da koristite ovu veb lokaciju, pristajete na našu politiku korišćenja kolačića.

Instalirajte besplatnu mobilnu aplikaciju Online Radio Box na svom pametnom telefonu i slušajte svoje omiljene radio stanice preko interneta - gde god da ste!

×
Sviđa mi se ? Sačuvajte u svoje favorite
×
Sviđa mi se ? Ostavite svoju recenziju!
×
×
Stanimo uz Ukrajinu. Sačuvajmo mir u svetu!

Radio Kwizera

Ngara, 97.9 MHz FM
Ocena: 4.0 Komentara: 38
Radio Kwizera ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na shirika la huduma kwa wakimbizi la Kijesuiti (Jesuit Refugee Service - JRS) ili kutoa huduma za kijamii, elimu, na habari kwa wakimbizi kutoka Rwanda na Burundi waliokuwa wanaishi katika kambi za wakimbizi mkoani Kagera na Kigoma, Tanzania. Kwa sasa, Radio Kwizera imekua na kupanua huduma zake hadi kufikia mamilioni ya watu katika mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida, na hata maeneo ya nchi jirani za Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
85 4

Radio Kwizera komentara

  • 5
    20.07.2019
    Naitwa Emmanuel nyamwilahila ,kutoka temeke dar mambo ni motoo!!endeleeni kutupatia raha
  • 1
    09.07.2019
    Naitwa Joel Sylvester all the way to DSM nawapataka vema.
  • 1
    03.07.2019
    mimi leonidas Iukara wa Rulenge ambae mdahuu nipo Nyamongo ninaipata vyema RK kupitia mtandaoni
  • 3
    30.03.2019
    HAKIZA JK
  • 5
    22.03.2019
    Nawapata on line radio kwizera nimm Sylvester hamsony nikiwa dares salam.
  • 5
    05.01.2019
    AMSHA WOTE WAAMBIE UKILALA KUNA BAADHI YA MAMBO PIA HULALA
  • 2
    31.12.2018
    Dj KALI SAN kbs
  • 5
    16.09.2018
    dj hapo hapo dj wetu

Radio kontakti

Adresa: P.O. Box 154 Ngara, Kagera, Tanzania
Telefon: +255282226079
Lokacija:
Email: [email protected]
Facebook: @radiokwizera
Twitter: @radiokwizera
Instagram: @radiokwizerafm_
Youtube: @KwizeraTVTanzania

[email protected]

Vreme u gradu Ngara: 10:53, 11.07.2026

Instalirajte besplatnu Online Radio Box aplikacija aplikaciju na svom pametnom telefonu i slušajte svoje omiljene radio stanice preko interneta - gde god da ste!