Berdiri bersama Ukraine. Kekalkan keamanan di dunia!
Crown FM
Dar es Salaam, 92.1 MHz FM
Crown FM is a Tanzanian radio station providing a dynamic mix of music, news, talk shows, and entertainment to our listeners. With a strong focus on local content and community engagement, we aim to be the go-to radio station for Tanzanians and Swahili speakers across the globe seeking a vibrant and enriching audio experience.
Ulasan-ulasan Crown FM
Safi Sana..Mombasa Kenya
augustin petro
28.05.2024
Radio bora kbs kuwahi kutokea africa mashariki hongera sana mfalme king kiba👏
Onesti Shirima
28.05.2024
Fire
keep it up
NEW FAMILY
Nice one Radio
Keep it up crown fm 🙌🙌
nikiwa mwanza nawapata vzr
Nikiwa USA 🇺🇸 hapa naburudika chakufanya ni nyie kufanya kazi 24/7 ili na sisi huku tu enjoy baada ya kutoka makazini
Revocatus Mishely Ludovick
17.04.2024
Niwapo kazini, au kwenye chombo cha usafiri katika harakati za mtu mweusi, lazima ni "Tune" 91.2 Crown Fm. #HapaNiNyumbani
Lazaro Philipp
17.04.2024
Here From Geita Tanzania nawapata Mubashara kabisa 🇹🇿
Nawapata kutoka Nashville TN Marekani 🇺🇸🇺🇸
RealAmair (Mtu makini)
16.04.2024
Crown fm ...mombasa ni fire 🔥
Good luck crown fm
Mwaipola Prince Banunu
16.04.2024
Mbeya town the green city chombo inapepea
Christopher Venance
15.04.2024
Nasikilizia kutoka Ntwara Tanzania mna upiga mwing
Here We Go Here We Know
Very inspired, and good challanger
Hongereni
Deusdedit Sanga
02.04.2024
sound iko poa sana dj anawatenga sana watoto wa nyumbani
Mdigital beatz
30.03.2024
Naenjoy ,Hapa ni Nyumbani
I can imagine the sound!❤️👊🏾
Collins Wambani
27.03.2024
King kiba umeweza Sana hapa ni nyumbani
Ya huku online na ya kwenye frequency ya 92.1 ni tofauti?
Crown FM hii ni yetu sote
Fantastic
Crown fm apa ni nyumbani
mpemba mastika
26.03.2024
Unyama mwingi sana 🙌🙌
hapani ni yumbani kweli, high quality sound
Kakozi kalenga
25.03.2024
Sauti Qali sn